Nichukue fursa hii kumpongeza mh Raisi. umeonesha kuwa kweli dhamira yako ni njema!! hata kama tutapita katika wakati mgumu sawa ila tabia iliyojengeka ya wizi ikome. tena ikome.
Wabunge wa CCM mjitafakari na makofi mnayofanya. mmekuwa wanafiki sana kwa taifa. sijui ni kwa vile hamjaenda shule!!!! au njaa za tumbo zilihamia kichwani!!!? Kama sio ninyi raisi asingepata wakati mgumu kama hivi.
Mikataba imekuwa ikilalamikiwa sana na wapinzani. Mnyika,Zitho,Lissu et al. mliwadhihaki na kuwapa matusi yote!! Je leo mtasimama kumpongeza mh Raisi? unafiki wenu unatuangamiza kama taifa. jambo hata kama ni baya likiletwa na ccm SHARTI mumpongeze!! jambo hata kama ni jema kiasi gani likiletwa na mpinzani SHARTI lipingwe.
Naomba GAMBO na MAKONDA mjiandae kutumbuliwa. Otherwise you have to change immediatelly!! mnakumbuka aliyosema mh Raisi pindi anamtumbua pr. Mhongo? KUMBUKENI SANA YALE MANENO. Mh raisi hana rafiki wa kudumu. saa yoyote unaenda. mh rais anapenda rafiki anayefanya kazi na kuacha good image itakayofanya wananchi wamsifie. huo ndio UKWELI.
Kila mnachofanya kinachefua wananchi. tunamuona mh Raisi ni mbaya kumbe sio. fanyeni mema, acheni legacy nzuri kwa jamii. Mkiendelea hivyo mkumbuke kauli ya juzi na nyinginezo zilizowaumiza wapendwa wa rais, otherwise you wii go very soon. msitufanye tumuone raisi ni mbaya