UmenenaLete ushahidi achana na Porojo Sheria ya Habari itakupata... Umbea sikuhizi lazima uwe na Nyama... no more ukurupukaji... Mmemuaibisha sana Raisi na kind of hii style ya Umbea maana alikuwa akisikia tu anajump faster na akifik ni Mangumi mateke mikwaju n.k Kesho akilala akiamka kumbe Sio Masamaki kumbe ni Pesa za Mradi wake wa Genge la Mchicha ndio limemletea faida yote ya kujenga Nyumba 80 na pia alilithi Gold kutoka kwa Babu yake William gold mine huko Mwadui
bandar ndo mapngo mzima kijana nd maana anawalilia wafanyabiashara warudi...pia tanzania bila ya misaada haiend nd maana kikwete kajipendekeza sana nchi nyengine ili ale bata pia kupata misaadaMkulu alifuatilia majungu yenu akajua bandari inaweza kuendesha nchi ,