Mh. rais yale mafuta yanasoma Rwanda yanamwagwa Mbezi au Kibaha tunawabanaje kodi zetu?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Watu wengi wamekuwa wakishangaa watu wanaleta malori mapya ya mafuta kila siku, hawakuwa wanabahatisha wamecheza sana michezo yao kwa kubeba mafuta yakionyesha yanaenda nje ya nchi yanaishia mikoani huko nyuma hayakuwaa yakilipwa kodi.

Sijuii mh rais amejipangaje na hili.

Gari naambiwa zinalipakodi.

Na hizo lori za mafuta nazo zilipe, nyingii zinaishiaa mikoani documents zinatumwa TRA mzigo umefika gari ishaingia mpakani bila aibu kumbe iko Gairoo inamwaga mafuta.

Rais Magufuli komaaa nao hao.
 
Lete ushahidi achana na Porojo Sheria ya Habari itakupata... Umbea sikuhizi lazima uwe na Nyama... no more ukurupukaji... Mmemuaibisha sana Raisi na kind of hii style ya Umbea maana alikuwa akisikia tu anajump faster na akifik ni Mangumi mateke mikwaju n.k Kesho akilala akiamka kumbe Sio Masamaki kumbe ni Pesa za Mradi wake wa Genge la Mchicha ndio limemletea faida yote ya kujenga Nyumba 80 na pia alilithi Gold kutoka kwa Babu yake William gold mine huko Mwadui
 
Naona inalalamikiwa 'VAT on Transit goods' nadhani ndo njia iliyofikirika kutatua uhuni wa namna hii sema sasa imekimbiza wafanya biashara lukuki nasikia.
 
Lete ushahidi achana na Porojo Sheria ya Habari itakupata... Umbea sikuhizi lazima uwe na Nyama... no more ukurupukaji... Mmemuaibisha sana Raisi na kind of hii style ya Umbea maana alikuwa akisikia tu anajump faster na akifik ni Mangumi mateke mikwaju n.k Kesho akilala akiamka kumbe Sio Masamaki kumbe ni Pesa za Mradi wake wa Genge la Mchicha ndio limemletea faida yote ya kujenga Nyumba 80 na pia alilithi Gold kutoka kwa Babu yake William gold mine huko Mwadui
Umenena
 
Mkulu alifuatilia majungu yenu akajua bandari inaweza kuendesha nchi ,
bandar ndo mapngo mzima kijana nd maana anawalilia wafanyabiashara warudi...pia tanzania bila ya misaada haiend nd maana kikwete kajipendekeza sana nchi nyengine ili ale bata pia kupata misaada
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom