Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,462
- 21,334
Watu wengi wamekuwa wakishangaa watu wanaleta malori mapya ya mafuta kila siku, hawakuwa wanabahatisha wamecheza sana michezo yao kwa kubeba mafuta yakionyesha yanaenda nje ya nchi yanaishia mikoani huko nyuma hayakuwaa yakilipwa kodi.
Sijuii mh rais amejipangaje na hili.
Gari naambiwa zinalipakodi.
Na hizo lori za mafuta nazo zilipe, nyingii zinaishiaa mikoani documents zinatumwa TRA mzigo umefika gari ishaingia mpakani bila aibu kumbe iko Gairoo inamwaga mafuta.
Rais Magufuli komaaa nao hao.