Posho aise duniani kote zinatolewa ila sijui sisi tumeanzisha dunia yetu.Sawa,ila nazungumzia posho na chakula
Watanzani watakuwa wote kama ifuatavyo: Watawauzia mchele, mayai, maji, boga, sabuni nk. Huo ndiyo mzunguko wa pesa.Yeye alisema maswali aliyohoji ni kuwa
1.Chakula watakula watz wote
2.posho watapata watz wote
Alipoambiwa hapana,akasema hakuna shamra shamra
Siyo kweli. Siyo nchi zote duniani zinatoa posho kaka..Posho aise duniani kote zinatolewa ila sijui sisi tumeanzisha dunia yetu.
Kama ndiyo hivyo watanzania wote walipwe mishahara.Yeye alisema maswali aliyohoji ni kuwa
1.Chakula watakula watz wote
2.posho watapata watz wote
Alipoambiwa hapana,akasema hakuna shamra shamra
Hivi mtumishi atasafiri bila posho au chakula? hata viongozi wa dini wanapewa posho wakitaka kusafiri mkuu. Taja nchi ambayo haitoi poshoSiyo kweli. Siyo nchi zote duniani zinatoa posho kaka..
Si serikali nzima itakuwa imehamia dodoma?Sasa posho za safari za kutoka wapi wakati uko Dodoma?Au mimi ndio sijaelewakama mabalozi,mawaziri,watendaji wa serikali wote wako Dar es salaam,natarajia sherehe hizi ziwe ghali zaidi kuliko za Dar,watahitaji posho,wengine itabidi wakae Dodoma hata mwezi na zaidi,mfano wakuu katika mambo ya jeshi,tofauti na dar walikuwa wanatokea nyumbani.
Mawaziri karibu au zaidi ya 50,wasaidizi wao,madereva etc
hakuna hela ya kuhamisha serikali kwenda dodoma,kwani dar kuna vita?Si serikali nzima itakuwa imehamia dodoma?Sasa posho za safari za kutoka wapi wakati uko Dodoma?Au mimi ndio sijaelewa
mwaka huu tangu atamke,nani kahamia?Serikali itakua imehamia dodoma
Huo ni wimbo wa kawaida sana, mawaziri wengi walisema kabla ya Sept wote watakuwa Dom mpaka leo bado wapo town, mzee town pazuri sana ndiyo maana hata vichaa hukimbilia town.Serikali itakua imehamia dodoma
Na yeye anaujua huu mzunguko wa kiuchumi? Maana ni maganda ya korosho vs economyWatanzani watakuwa wote kama ifuatavyo: Watawauzia mchele, mayai, maji, boga, sabuni nk. Huo ndiyo mzunguko wa pesa.