huyu akilaumiwa ndio anafurahi. ni sawa na chizi. chizi akiwa ktk kijiwe fulani na akaona hammchokozi kwa kumtaniatania, huondoka ktk kijiwe hicho. chizi anapenda kundi la watu wa kumtaniania. so kua mpole kwa huyu mselaJe, iwapo mtu atafika darasa la nne bila kujua kusoma na kuandika, nani alaumiwe?
Aaaah, mkuuu nina imani naye sana kwa mambo mengi sana, real he deserve much respect for restructuring our thinking patterns. Yes let him go.huyu akilaumiwa ndio anafurahi. ni sawa na chizi. chizi akiwa ktk kijiwe fulani na akaona hammchokozi kwa kumtaniatania, huondoka ktk kijiwe hicho. chizi anapenda kundi la watu wa kumtaniania. so kua mpole kwa huyu msela
Nenda kalime kuna wahasibu na maengineer walimaliza tangu 2006 hawana kazi, hii 2017 wewe subiri mpaka 2021Hivi vilio ni vya muda mrefu sana. Ila havizingatiwi. Kila kukicha unaibuliwa mchakato mpya wa kuendelea kukwamisha ajira za walimu.
Hyo hana lolote tu..analeng baya na taifa letu si vingne nakwambia elimu ya tz inakoelekea n kubaya sana mana mkulu hasikiii wala aambiliki anajifanya mjuaji kat hana lolote nawaswas sana na elimu yake huyo mtuNimeangalia matokeo ya mtihani wa upimaji darasa la nne, kwa kweli hali ni mbaya sana.
Kuna shule ilikuwa na wanafunzi 250+, kati yao 75 wamefeli kabisa na hivyo wanatakiwa kukariri darasa la nne.
Moja ya sababu zilizofanya wafeli, ni kukosa waalimu tangu wakiwa darasa la kwanza.
Wakati unaingia madarakani, ulikuta kuna program zilizolenga kukabiliana na upungufu wa walimu, ukazisitisha kwa kuwa hazikufuata mlolongo sahihi wa elimu.
Sasa kuna waliomaliza tangu mwaka juzi, hawajaajiriwa, wako mtaani wakati tangu kipindi hicho kuna walimu wamefariki, wameacha kazi na wengine wamestaafu kwa mujibu wa sheria. Hivyo upungufu wa walimu ni mkubwa sana.
Elimu Bure imekuja na mfumuko wa wanafunzi haijawahi kutokea. Sasa unakuta darasa la kwanza lina limeandikisha watoto 400+, halafu kulingana na upungufu wa walimu, wanapangwa walimu wawili tu kufundisha watoto 200+ kila mmoja.
Je, iwapo mtu atafika darasa la nne bila kujua kusoma na kuandika, nani alaumiwe?
Mh. Rais, tafadhali okoa watoto wa wakulima, wanyonge wenzetu ambao hawawezi kupeleka watoto English medium.
Basi angalau ikama ya waalimu isome 1:60 angalau itasaidia waalimu kuwachunguza wanafunzi wao lkn ikifika standard ya 1:45, itakuwa njema kabisa.
Tafadhali mh, tusaidie
Sasa hivi kuna shida kubwa sana hata secondari.form ni wengi sana : mfano kuna shule ina form 680 na nyingine 480 form two 320 form 3: 290 form 4 :260 mwalimu wa phys ni 1 hapa kz tuNimeangalia matokeo ya mtihani wa upimaji darasa la nne, kwa kweli hali ni mbaya sana.
Kuna shule ilikuwa na wanafunzi 250+, kati yao 75 wamefeli kabisa na hivyo wanatakiwa kukariri darasa la nne.
Moja ya sababu zilizofanya wafeli, ni kukosa waalimu tangu wakiwa darasa la kwanza.
Wakati unaingia madarakani, ulikuta kuna program zilizolenga kukabiliana na upungufu wa walimu, ukazisitisha kwa kuwa hazikufuata mlolongo sahihi wa elimu.
Sasa kuna waliomaliza tangu mwaka juzi, hawajaajiriwa, wako mtaani wakati tangu kipindi hicho kuna walimu wamefariki, wameacha kazi na wengine wamestaafu kwa mujibu wa sheria. Hivyo upungufu wa walimu ni mkubwa sana.
Elimu Bure imekuja na mfumuko wa wanafunzi haijawahi kutokea. Sasa unakuta darasa la kwanza lina limeandikisha watoto 400+, halafu kulingana na upungufu wa walimu, wanapangwa walimu wawili tu kufundisha watoto 200+ kila mmoja.
Je, iwapo mtu atafika darasa la nne bila kujua kusoma na kuandika, nani alaumiwe?
Mh. Rais, tafadhali okoa watoto wa wakulima, wanyonge wenzetu ambao hawawezi kupeleka watoto English medium.
Basi angalau ikama ya waalimu isome 1:60 angalau itasaidia waalimu kuwachunguza wanafunzi wao lkn ikifika standard ya 1:45, itakuwa njema kabisa.
Tafadhali mh, tusaidie
Kwamba wanawake raha tuu!!!Wanaume tumeumbwa,mateso kuhangaika..[emoji445][emoji442][emoji449]
achana nae, akikuita utagoma? unaachana nazo izo ajira kweli? jina lako likitoka utagoma kwenda kufanya Kazi kweli we mtanzania au siyo badala yake na kuanza kumsifia. vuta subira kila jambo lina mwisho.Achana nae bwana tatizo anajiona mungu,akae nazo hizo ajira c tutafanya mengine