mh.rais kuzindua mgodi kwenye ardhi inayodaiwa kuporwa?

ngozimbili

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
1,398
1,006
mh.rais anatarajia kufanya ziara ya kikazi katika wilaya mpya ya nyanghwale,katika moja ya shughuli atakazofanya ni kuzindua rasmi mgodi mdogo wa kisasa unaomilikiwa na mfanyabiashara ambae pia ni mbunge wa jimbo hilo.lakini pia kuna malalamiko ya wanakijiji wa kijiji cha mwamakiliga wakidai mgodi umeimega ardhi yao ambao ulikuwa ni msitu wa hifadhi na wameshafanya mikutano kadhaa na uongozi wa mgodi ikiwa pamoja na mwenye mgodi bila mafanikio,wakati wanajipanga kuchukua hatua zaidi wanasikia rais anakuja kuzindua mgodi katika ardhi,ambayo wanadai wameporwa! imekaaje wanajamvi.
 
Ungesema haya ukiwa nchi nyingine mbali na Tanzania ningekuelewa.Lakini kwa hapa bongo, hili linawezekana. Tuliza boli
 
Back
Top Bottom