Mh. Rais, kuwe na Fair ground katika kumiliki Uchumi

Lancashire

JF-Expert Member
Sep 20, 2014
14,061
10,355
Tumechoka kunyanyaswa kwenye nchi yetu.hawa raia wa kihindi wanaojifanya watanzania wametunyonya vya kutosha , wametutumikisha, wametudharau, wameshika uchumi wetu kwa muda mrefu tena kwa njia zisizo halali. MH. Rais Magufuli nakuomba uwadhibiti hawa wahindi .haiwezekani mhindi anafanya biashara Tanzania pesa anaweka UK au Canada hii ni dharau wanaionaje nchi yetu? wanajiita watanzania lakini values and customs zetu wanazidharau. Pls mimi siyo mbaguzi wa rangi .
 
Kuna jamaa Aliwai sema ukiona mahala hawa jamaa wako wengi ujue apo mahala ni corrupt mno.
Maana wengi ndo wanasimamia vitega uchumi vya wakubwa na kuleta wadogo zao kila Leo ata kwa kazi ambazo zaweza fanywa na watz.
Kalamu Uniform inafika wakati wanaagiza toka kwao hii si ni capital flight jamani
 
I totally agree with you for a just this reason, .............. among the Indian billionaires who have migrated to Canada, ten of them originated from TZ, for so long TZ does not have patriotic leaders who can end the matter??!!
 
Ujumbe wako una ukweli ndani yake. Hao Jamaa in reality ni wanyanyasaji wanatajirika Kwa kutumia nguvu kazi Ya mtanzania very cheap. Niliwahi kuonya viwanda anavyokusudia kuanzisha Mh Raisi kamwe visiwe vya hao jamaa. Wanatumia nguvu za watanzania bure Kabisa Mfano kiwanda kimoja cha chupa Ya maji hapo vingunguti kibarua wanafanya kazi za kitumwa kabisa imagine a whole night shift mtu unalipwa 5000. Eti kiwanda. Wafsnyakazi wanaumia sana kazini wengine wanakatika vidole Wala hawalipwi NA hawana pa kwenda. Kusema ukweli hawa jamaa ni wabaguzi Sana Kwani same role kama uko Na mwenzao mtatreatiwa tofauti.

Reaction uliyoandika kwa zama hizi hailipi na inaweza kutugharimu na kutuvua nguo mbele Ya uso wa dunia la kuna njia nyingi za kubalance ili kupata fair ground kama wizara iko makini ila kwa hao wanaojimilikisha mali zetu ki fisadi kama beach zetu ni wa kulala nao mbele tu kwa kutumia akili ili uhuru wetu na utu wetu uthaminiwe. Kwa zama hizi hakuna anaeweza kumfukuza raia wake Hata kama ni wadosi bado ni raia wetu kisheria ni kutumia tu busara ili tusijitoe ufahamu kama kina babu Mugabe
 
Hivi sisi waafrika ni kulogwa au nini? ni nani Mtanzania-mhindi alyeko india ni mwanasiasa? ni Mtanzania yupi anaeweza fika leo india na baada ya mwaka mmoja akapewa uraia? na akapewa ridhaa na chama kuwa mwakilshi katika jimbo fulani huko india au uarabuni? wanakuja hapa wahindi tanzania baada ya siku moja wamekuwa wazawa, watanzania wanadanganya eti wamezaliwa tanzania wakiwa na pass za nchi waliko toka, wanapata kazi, wanaiba, wanakimbia. Hivi mgeni kapata uraia ndani ya miezi miwili anaweza kuwa mzalendo na taifa lake? . Ilitakiwa uhamiaji ifumuliwe yote, iwekwe system nzuri ya kuwatambua wageni waiingiapo tanzania na kuwafuatilia. Uhamiaji wamekuwa wanacheza mchezo huu mchafu, babu au bibi wa kihindi anaongea kiswahili cha magumashi sentence mbili kakalilishwa kesho anapewa uraia, ni zaidi ya ujinga tuufanyao .
 
Mawazo ya mleta Uzi hayana tofauti na mawazo ya kifashisti ya manazi wa kale. Tofauti yao ni kuwa wale walikuwa karne ya 20 yeye ya 21. Ni upuuzi kuanza kuwatambulisha watu kwa race yao halafu unawajengea taswira ya uovu dhidi ya jamii kubwa zaidi nchini. Hawa wakichekewa ni hatari kwa jamii ya wachache. Mtanzania yeyoye atashughupikiwa kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi na wala Si kwa mujibu wa asili au imani yao.
 
Tuache wivu wa kijinga, mbona tulijaribu sera hiyo enzi ya Nyerere, tukayasema tunayosema sasa tukasikilizwa, hao wahindi na waarabu wakataifishiwa nyumba zao, pamoja na kuchukuliwa mashamba na biashara zao.

Tukapewa sisi maflate tuishi katika magorofa ya mjini, mashamba tuyalime na biashara zao tuendeshe yakiwemo mpaka mabucha ya nyama.

Ndugu zetu waliopewa ma flate mjini baada ya muda wakayaona hayafai, wakaita hao hao wabaya wahindi wakiwatangazia kutaka kuwauzia hizo flat zao na wakawauzia, wao wakarudi walikotoka kufanya shughuli zao.

Kwa waliopewa mashamba yote baada ya vifaa va kulimia kuharibika yakatelekezwa bila kulimiwa maana hata gharama za kulima mashamba wakawa hawana.

Biashara nazo zikaanza kufa, sasa tunataka kurudia yaliotokea wakati huo, tuache wivu wa kijinga, unaweza kunyanganya mtu mali zake lakini akili yake hutoweza ichukua.

Tujifunze kutafuta chetu wenyewe kwa jasho letu cha kupewa hakina uchungu.Tuache wivu na ubaguzi kwa visingizio vya kijinga kama wezi.
 
Inabidi ifanyike sensa tanzania nzima kwa ajili ya wageni wa ki-asia tuweze kuwatambua lini waliingia , kwa muda gani wamepata uraia wa tanzania, nani amewapatia, na tujue idadi kamili ya waliopo. pia tuweke idadi ya hawa watu kuingia nchini kwa mwaka, na wakiingia lazima wasigin makubaliano ya vitu ambavyo hawatakiwi kujihusisha navyo, pia tuwajulishe kuwa haiwezekani na hairuhusi kwa nchi hizo kupata uraia nchini hata kama watakaa miaka hamsini ili tupunguze idadi yao. Kingine waje tanzania kama wafanyabiashara tu na waajili wazawa. Company zao zikaguliwe kujua idadi ya watanzania walio ajiliwa.
 
Baba yangu mhindi mama mtanzania mweusi.Nimezaliwa tanzania na kukulia hapa.Nimesoma shule za serikali mpaka Chuo Kikuu sasa nimeajiriwa na serikali kama Mhandisi.Je na mimi nifukuzwe?
 
Me binafsi zaman niliwahi kufanya kaz na wahind, hawa jamaa ni wabaguzi sana na hata kodi hawalipi inavyopaswa sababu nilikuwa kitengo cha finance i knw the facts, me ckukubali upumbavu na uonevu, nilienda kuwaripot had tra, lkn a corrupt system hakuna kilichotokea, kwanza hata wahamiaj haram wamejaa kule watu wanatoka india wanakuja kufanya kaz za kawaide kabisa, so mtoa hoja una point, hatusemi wanyanyaswe wafanye biashara zao waajiri wazawa wawalipe inavyostahili inluding pensions benefits and health plans wafuate sheria za nchi mambo ya kutorosha fedha yadhibitiwe, nadhan benki kuu yetu nayo ni jipu linalotakiwa kutumbuliwa kwa haraka sana, kuna ushenz mwingi sana umetokea wala hata hawasemi.
 
Solution sio kuwafukuza inatakiwa kuwadhibiti then ataenyoosha mikono ataondoka mwenyewe. Mfano tukisimamia sheria za uhamiaji na vibali vya ajira wataondoka wenyewe.
 
Ina maana hakuna wabantu wenye hela nje mbona hela za escrow zingine zilipelekwa nje ya nchi au viongozi wa siasa ambao wanajidai wapo kusimamia maslahi ya watanzania ndio wanaoongoza kupeleka pesa na kufanya investment nje ya nchi hawa nao wapelekwe wapi?

Ukitaka kuumia na mawazo anza kuangaika na watu wenzio wanatumia maarifa wewe utabaki unalalama kwa mafanikio ambayo ata wewe ukiweka jitihada unaweza ya fikia hakuna kitu kibaya duniani kama wivu ni ugonjwa ambao unawez kukutesa sana usipokubali matokeo.
 
Baba yangu mhindi mama mtanzania mweusi.Nimezaliwa tanzania na kukulia hapa.Nimesoma shule za serikali mpaka Chuo Kikuu sasa nimeajiriwa na serikali kama Mhandisi.Je na mimi nifukuzwe?

Mhindi kumdunga Mtz mweusi ruxa, wewe mweusi kajaribu kumdunga mwekundu uone kama utafika mbali
 
Tumechoka kunyanyaswa kwenye nchi yetu.hawa raia wa kihindi wanaojifanya watanzania wametunyonya vya kutosha , wametutumikisha, wametudharau, wameshika uchumi wetu kwa muda mrefu tena kwa njia zisizo halali. MH. Rais Magufuli nakuomba uwadhibiti hawa wahindi .haiwezekani mhindi anafanya biashara Tanzania pesa anaweka UK au Canada hii ni dharau wanaionaje nchi yetu? wanajiita watanzania lakini values and customs zetu wanazidharau. Pls mimi siyo mbaguzi wa rangi .

Wanaowapa biashara hao wahindi? Si ngozi nyeusi kama wewe tu? Dili na hao
 
Hivi sisi waafrika ni kulogwa au nini? ni nani Mtanzania-mhindi alyeko india ni mwanasiasa? ni Mtanzania yupi anaeweza fika leo india na baada ya mwaka mmoja akapewa uraia? na akapewa ridhaa na chama kuwa mwakilshi katika jimbo fulani huko india au uarabuni? wanakuja hapa wahindi tanzania baada ya siku moja wamekuwa wazawa, watanzania wanadanganya eti wamezaliwa tanzania wakiwa na pass za nchi waliko toka, wanapata kazi, wanaiba, wanakimbia. Hivi mgeni kapata uraia ndani ya miezi miwili anaweza kuwa mzalendo na taifa lake? . Ilitakiwa uhamiaji ifumuliwe yote, iwekwe system nzuri ya kuwatambua wageni waiingiapo tanzania na kuwafuatilia. Uhamiaji wamekuwa wanacheza mchezo huu mchafu, babu au bibi wa kihindi anaongea kiswahili cha magumashi sentence mbili kakalilishwa kesho anapewa uraia, ni zaidi ya ujinga tuufanyao .

Kuna usahihi kidogo, japo ukizingatia India imejaa, sasa wanachuana na China kwa population, almost 1.3 billion indians, kwa hiyo kusambaa duniani kutafuta maslahi is a nature call. Tunahitaji kuyawika sawa mambo yetu binafsi bila kuharibu haki za wote wenye damu.
 
Mbaguzi hata angekuwa mweusi ni kaburu tu - Mwl.Nyerere.

Hawa wahindi wengi wao ni kizazi cha tatu hata cha nne. Hawakujui India wala Pakstan, wanakusikia tu. Babu zao walifika huku miaka ya 1800 na 1914.

Kinachowatofautisha na weusi ni utamaduni tu. Wao ni wasaka pesa, wadini, wabahiri wakati weusi ni wajivuni,wenyekupendwa kutukuzwa(mf.mtu akinunua ka-usafiri Vitz kijiji kizima watapelekewa taarifa).
 
Back
Top Bottom