Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,586
Kuna mambo yanaendelea yakuogopa nchini.Haka kamradi kametumia pesa nyingi sana cha ajabu nenda kaangalie zile taa aibu haziwaki.
Mfano kipande cha Kimara mpaka Ubungo utashangaa taa ziko juu zimevutwa waya zinaning’inia na hakuna ajali wala basi lililogusa.
Nenda Shekilango same taa zinaninginia,je Manispaa walipandisha ngazi wakachomoa ama wameamua kutoziwaasha ama ni feki?
Mh Rais embu kabla ya ukaguzi nendeni muone vile viti vya kihuni walivyoweka wale wajenzi kama hakai binadamu. Hivi hizi bench za shule mmezipata wapi?