Mh.Rais hii inakuhusu wewe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh.Rais hii inakuhusu wewe.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kibwagizo, Oct 24, 2012.

 1. Kibwagizo

  Kibwagizo Senior Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika wimbo mpya wa Mrisho Mpoto kuna maneno yakisema hivi,''UNAWAULIZAJE WATU MAGONGO YANINI, WAKATI UMESEMA KUNA NYOKA?'' ujumbe huu nimeuhusisha kwako nikilenga maneno yako wakati wa kampeni zako mwaka 2010 kule Mtwara,ulivowambia wawabeze CDM ni chama cha wakristo.Leo tunashuhudia vurugu za kidini zikiambatana na siasa,huku wewe ukisema zanini?
   
 2. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Mi nabisha haiwezekani Mh. Dakta Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa JMT atamke maneno hayo. Nabisha mkuu. Ila si vyote ubishavyo ni uongo. Ni Tz zaidi ya uijuavyo.
   
 3. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wakati Wanaharakati wa Udini walipoanza kwa njia moja au nyingine aliwasapoti sana tu(Aliwapaka wanja), leo hii akina Shehe Ponda wanampaka pilipili anaanza kuweweseka. Hiyo ndo kombolela aliyotaka, azinge tu asilalamike.
   
 4. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,186
  Likes Received: 2,883
  Trophy Points: 280
  Siasa bhana, ulim quoet had leo unakumbuka? Loh!
   
 5. r

  raymg JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nabisha JK hawez tamka wazi hivyo, labda kama alitumia mipasho na mafumbo
   
 6. mgashi

  mgashi JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  N aliwawezesha kuzunguka tz nzima baada ya uchaguzi kina shehe kundecha walipita mikoa yote wakimtukana baba wa taifa pamoja na cdm. Leo anashangaa nn? C anavuna alicho panda?
   
 7. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Alitaka aonewe huruma na wakristo kwa sababu waislam ni wachache kura zao zisingeweza kutosha kwa yeye kuwa rais.
   
 8. Eraldius

  Eraldius JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Sana Mrisho Mpoto.Bigup Kibwagizo.MIA
   
 9. f

  filonos JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  jamani hata MAREKANI hakuna Raisi alie sifiwa na Makundi yote wala vyama vyote kwa TZ hakuna jipya hata MKAPA ..MWUNYI..NYERERE ote hawa kuyagusa MAKUNDI yote kwa upendo...ndio maana inaitwa SIHASA.....
   
 10. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Chocheeni kuni mbichi ugali uive......mnayotaka yatokeee......chocheaaaa......chocheaaaaa...
   
 11. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Na kikichocheka hatatoka mtu hata kuikaribia mipaka tu.
   
Loading...