MH RAIS EMBU TUMBUA NA UPANDE WA MATRAFFIC WAWR MA HESHIMA NJIAN

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
57,682
32,204
IFIKE WAKATI NCHI IHESHIMIKE NA WATU WOTELEO KATUMBULIWA

Leo hiii traffic wamekuwa akuna heshima tens unapokuta MTU anauwezo Wa kukwambia niachie at bk tatu tunaitaji kutumbua mh..pls chonde chonde

Wakowengine wanakaa kona njia yalwenda KMR wanajoficha kabsa wakiona Gari mwensokasi aoo awana efd machine

Wako wengine pale bucha wanakaa kuomba hela unakamataje Gari nane hakuna hats moja uandikii walaa awapi efd wanachofanyaadereva wanashuka wanawaona wanaendeleaa


Embu tuweke heshima turudishe heshimA ya traffic mh Rais ikiwezekana aliepo Basi ateuliwe mpya aachekaa ofisini TU


Wanaaibisha jeshi sio wao pekee
 
Back
Top Bottom