Mh Pinda umeliona hili?

Mh Pinda umeliona hili?

true

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2011
Posts
506
Reaction score
281
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, David Kimaiyo na Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo, Joseph Ole Lenku wamejiuzulu kufuatia matukio mbalimbali ya kigaidi likiwemo la leo kuuawa wachimba kokoto 36
Source ..RADIO1 STEREO!!
 
Nafikiri ungelimuliza JK kama kaliona hilo .......................... Pinda unamuonea bure!!
 
Ule ubishani uliokuwa unaendelea Bungeni!. Mh Pinda angelichukua maamuzi ya kujiuzulu. Angerahisisha kazi km hawa wenzake wa Kenya.
 
Pinda angejiuzulu kwenye sakata la albino na tokomeza ujangili, lakini uwaziri mkuu mtamu, anapenda ving'ora huyu Mzee,
 
Ubaya wa hawa viongozi wa ccm wameweka chama nyuma, matumbo yao mbele. Ccm ingekuwa na utaratibu wa kuwajibika, kisingekuwa na upinzani.
 
Nafikiri ungelimuliza JK kama kaliona hilo .......................... Pinda unamuonea bure!!
unatumia kiungo gani kufikiria? bora ungeanzisha thread yako. maana angejiuzulu uhuru kinyatta ungecompare na Kikwete. hizi akili za vinyesi ni shida sana.
 
Hawawezi kujiuzuru sababu wamesha tuona Watanzania wote ni majinga, Kenya walikuwa wanasubiri muda kidogo tu wangelianzisha.
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, David Kimaiyo na Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo, Joseph Ole Lenku wamejiuzulu kufuatia matukio mbalimbali ya kigaidi likiwemo la leo kuuawa wachimba kokoto 36
Source ..RADIO1 STEREO!!
Pinda akijiuzulu, chura atasema!
 
unatumia kiungo gani kufikiria? bora ungeanzisha thread yako. maana angejiuzulu uhuru kinyatta ungecompare na Kikwete. hizi akili za vinyesi ni shida sana.

Wewe na ndoto zako za abunuas, hivi unafikiri wanajiuzulu kwa kupenda?? This is Africa ...................!!
 
Back
Top Bottom