Sio rahisi CCM tunayoijua sisi ikae meza moja na ukawa,kama tayari wana 2/3 ya wajumbe wa kuweza kuendelea na kutunga katiba wy should they give a dam???haujamuelewa PINDA wewe
Mizengo hata si muelewi anchokijibu hoja za wabunge... kweli amejichokea!!!
kwa utawala huu tulio nao ni wazi utaona miaka mingi..ajirangumu, mishahara mibovu, ufisadi kupamba moto, dhuluma, ujangiri wa kutisha,rushwa daraja A, na kila aina ya huzuni kwa mwananchi wa kawaida!!!:A S angry:Ni miaka mingi, na ameweza kumudu dhoruba za zahama hii.
Sasa hii serikali ni ya ajabu, Wasira jana kanyanyuka na Ugombe wake kawaponda Ukawa sasa Pinda anakuja kuvyake. Hii serikali haina msemaji??
Sasa akiingia msitun yule itakuwaje?
Wamuombe radhi kwanza Mzee wetu jaji Warioba kwa matusi waliomwagia
Hakuna kukaa na ukawa meza moja walale mbele wasitusumbue kabisa tena huu siyo wakati wa kusumbuana na wehu kama ukawa.Awasihi kukaa meza moja kuangalia ni namna gani watasuluhishana na kuondoa tofauti zao!!
Naamini sasa Serikali ya CCM imeona umuhimu wa UKAWA bungeni,.
Awasihi kukaa meza moja kuangalia ni namna gani watasuluhishana na kuondoa tofauti zao!!
Naamini sasa Serikali ya CCM imeona umuhimu wa UKAWA bungeni,.
kabiiisaaaa!!!!