Mh Ole Sendeka analipuka bungeni

kajunju

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
999
Reaction score
318
Mh. Ole Sendeka anachangia hoja binafsi ya Zitto Kabwe kuhusu pesa chafu zilizofichwa ughaibuni.

Amasema kila mmoja awajibike kuwafichua walioficha pesa nje bungeni
 
Tumuombe Ole sendeka azungumzie pia dili lake na TANESCO
 
Kama kila mmoja anawajibika kuwataje si aonyeshe mfano kwa kuanza kutaja? Mie naanza, Andrew Chenge na Dr. Idris Rashid- ushahidi SFO Report. Sasa OleSendeka nawe sendeka ushahidi wako ili uwe mfano kwa kutenda usemayo na kusema utendayo.
 
Hii hoja ya Zitto ni nzuri sana ila imeanza kuchukuliwa kiusabiki yale makundi ya uraisi yameibuka Membe kapumua
 
Ole Sendeka kajenga hoja yenye mantiki kwa maslahi ya umma wa Tanzaia.
 
huyu mzee wala simwelewi wakati mwingine
naona anataka kurejesha imani yake kwa wapiga kura wake
kwa kuunga mkono hoja zinazotolewa na upinzani
kabla ya hapo hoja yoyote inapotoka upinzani wanaipinga
 
**** kipindi sendeka huwa huwa na mapungufu ila leo nimemkubali. Leo kaacha itikad za ccm na kasema 'NAAPA KUSEMA UKWELI DAIMA'. Kuna kangi Lugora, Ruhaga mpina nimeona wanaitaji ukweli zaid. Mh. Ole kasema wasiposhughulikiwa chama kitabomoka 2015
 
kuonyesha uzalendo hadharani namna ile ni jambo la kupongezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…