Jaman mnyonge mnyongen ila haki yake mpeni, jana mh Ndugai aliongea very postive nakuwakata midomo wa ropokaji bungeni. Kuheshimiana ni jambo zuri sana. Naalipo uwa zaidi nipale aliposema watu wamepewa fursa zakuwa wa bunge ila sio kwamba ndio wanafaa sana nakujisahau nakuwatukana wengine! Kwakweli i wish kama Kunagazeti litaandika yote aliandika ni big subject to all Tanzanian.