Siyo kila kitu cha kujadili,fanya kazi kwa faida ya watoto wako acha umbeya na uswahili mwingi,unafatilia ya watu kama waliwahi kua wapenzi wakaachana unajuaje?unajuaje kama huyo Salome amewahi kumdhalilisha Nchambi bila macho yako kua yameona?kumbuka wote hao wanaishi Shinyanga mjini na hiyo ni tosha kukufanya wewe ufumbe kinywa chako uache kelele..hii imetokea wakati wa mjadala kuhusu bajeti ya Wizara ya Madini.
..kulitokea kupishana hoja kati ya Mh.Suleiman Nchambi na Mh.Salome Makamba.
..hawa wote ni wabunge toka mkoa wa Shinyanga. Mh.Nchambi na mbunge wa Kishapu, na Mh.Makamba ni mbunge wa viti maalum.
..katika kutetea hoja yake Mh.Suleiman Nchambi alimdhalilisha Mh.Salome Makamba kwa kudai kuwa almasi iliyopatika huko Kishapu inatosha kuvaliwa ktk kiuno cha Mh.Makamba na akamburudisha mumewe.
..Spika Ndugai ndiye aliyekuwa akiongoza kikao, lakini ktk hali ya kushangaza hakuchukua hatua yoyote ile.
..Binafsi siamini kama Mbunge yeyote wa CDM angetoa lugha ya namna hiyo angeachwa bila kuchukuliwa hatua na mwenyekiti wa kikao, Naibu Spika, au Spika.
..Unaweza kusikiliza hapa chini kuanzia dakika 4:59....
cc Salary Slip , Erythrocyte , Kalamu1 , Nguruvi3
Umeandika kijinga sana !Siyo kila kitu cha kujadili,fanya kazi kwa faida ya watoto wako acha umbeya na uswahili mwingi,unafatilia ya watu kama waliwahi kua wapenzi wakaachana unajuaje?unajuaje kama huyo Salome amewahi kumdhalilisha Nchambi bila macho yako kua yameona?kumbuka wote hao wanaishi Shinyanga mjini na hiyo ni tosha kukufanya wewe ufumbe kinywa chako uache kelele
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
mkuu toa hayo maneno ya JAH, ,,,, hawa watu sio wajinga kama wewe aiseeSiyo kila kitu cha kujadili,fanya kazi kwa faida ya watoto wako acha umbeya na uswahili mwingi,unafatilia ya watu kama waliwahi kua wapenzi wakaachana unajuaje?unajuaje kama huyo Salome amewahi kumdhalilisha Nchambi bila macho yako kua yameona?kumbuka wote hao wanaishi Shinyanga mjini na hiyo ni tosha kukufanya wewe ufumbe kinywa chako uache kelele
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Hii imetokea wakati wa mjadala kuhusu bajeti ya Wizara ya Madini.
Kulitokea kupishana hoja kati ya Mh. Suleiman Nchambi na Mh.Salome Makamba.
Hawa wote ni wabunge toka mkoa wa Shinyanga. Mh. Nchambi na mbunge wa Kishapu, na Mh. Makamba ni mbunge wa viti maalum.
Katika kutetea hoja yake Mh. Suleiman Nchambi alimdhalilisha Mh. Salome Makamba kwa kudai kuwa almasi iliyopatika huko Kishapu inatosha kuvaliwa ktk kiuno cha Mh.Makamba na akamburudisha mumewe.
Spika Ndugai ndiye aliyekuwa akiongoza kikao, lakini ktk hali ya kushangaza hakuchukua hatua yoyote ile.
Binafsi siamini kama Mbunge yeyote wa CDM angetoa lugha ya namna hiyo angeachwa bila kuchukuliwa hatua na mwenyekiti wa kikao, Naibu Spika, au Spika.
Unaweza kusikiliza hapa chini kuanzia dakika 4:59
cc Salary Slip , Erythrocyte , Kalamu1 , Nguruvi3
Umeandika kijinga sana !
mkuu toa hayo maneno ya JAH, ,,,, hawa watu sio wajinga kama wewe aisee
Nchambi mwizi tu, alichokisema Mh. Salome ni sahihi, Nchambi alifanya wizi mkubwa ktk Mgodi wa Stamigold Biharamulo kwa kushirikiana na Wafanyakazi wezi kama yeye na kusababisha hasara na madeni makubwa kwa kampuni.Hii imetokea wakati wa mjadala kuhusu bajeti ya Wizara ya Madini.
Kulitokea kupishana hoja kati ya Mh. Suleiman Nchambi na Mh.Salome Makamba.
Hawa wote ni wabunge toka mkoa wa Shinyanga. Mh. Nchambi na mbunge wa Kishapu, na Mh. Makamba ni mbunge wa viti maalum.
Katika kutetea hoja yake Mh. Suleiman Nchambi alimdhalilisha Mh. Salome Makamba kwa kudai kuwa almasi iliyopatika huko Kishapu inatosha kuvaliwa ktk kiuno cha Mh.Makamba na akamburudisha mumewe.
Spika Ndugai ndiye aliyekuwa akiongoza kikao, lakini ktk hali ya kushangaza hakuchukua hatua yoyote ile.
Binafsi siamini kama Mbunge yeyote wa CDM angetoa lugha ya namna hiyo angeachwa bila kuchukuliwa hatua na mwenyekiti wa kikao, Naibu Spika, au Spika.
Unaweza kusikiliza hapa chini kuanzia dakika 4:59
cc Salary Slip , Erythrocyte , Kalamu1 , Nguruvi3
Mbona ccm wamejaa Wasomali hivi?huyu Mbunge sijawahi kumuona
Wewe ukienda Somalia kuna wabunge Wasukuma?Huu ni ubaguzi
Wewe ukienda Somalia kuna wabunge Wasukuma?
Huyo ni Mwarabu+ Msukuma wa kuzaliwa jimbo hilo hilo la Kishapu ShinyangaWewe ukienda Somalia kuna wabunge Wasukuma?
Sijawahi kuona Rastafarian mpumbavu namna hiiSiyo kila kitu cha kujadili,fanya kazi kwa faida ya watoto wako acha umbeya na uswahili mwingi,unafatilia ya watu kama waliwahi kua wapenzi wakaachana unajuaje?unajuaje kama huyo Salome amewahi kumdhalilisha Nchambi bila macho yako kua yameona?kumbuka wote hao wanaishi Shinyanga mjini na hiyo ni tosha kukufanya wewe ufumbe kinywa chako uache kelele
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature