Mramba gani huyu aliyeandikwa?....je, ni yule aliyewaambia watz kuwa hata km ni kula nyasi wale lakini lazima rada na ndege ya rais inunuliwe na watz wakala nyasi mpaka mizizi? Au mwingine?.....
Ufafanuzi tafadhari kwani kuna viongozi wametufanyia maudhi mabaya sana.....we rais tumempa ridhaa anatuambia sisi wavivu wa kufikiri kweli?
Jamani si mnaona nilivo na hasira?....mnadhani kura yangu itaenda wapi iwapo uchaguzi wowote utafanyika?