Mkuu watu hawana mb za kukusikiliza, bora ungeandika. Lkn hata hivyo hakuna la maana unaloongea. Naona unadai fadhila ya kazi ulizofanya chadema na NCCR. Mkuu fadhila haidaiwi. Ukiona kimya ujue hukuwagusa wanachama. ungewagusa wangeandamana kukupigania
chifu mkuu kisandu,unaonaje kwa sasa ukaachana na mambo ya vyama vingine uanze kuzunguuka tanzania kutafuta udhamini wa usajili wa muda wa chama chako cha ACA?
au kama ulikuwa unaota tu tujulishe ikiwa umezinduka usingizini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.