Mh. Makonda, Paul; Special Thread

Bora ungeanzisha uzi maalum wa mwalimu nyerere ukatuekea na maneno ya hotuba zake.. au uzi maalum kwaajili ya uzazi wa mpango walau watu tubalance namba ya watoto tuendane na hali ya maisha
 
ikibidi huu uzi uwekwe sticky maana hadi awamu yao iishe tutaona mengi
 
Hongera nyingi zimuendee Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam.

Kaza buti hapa kazi tu
 
Amethubutu kuanzisha vita aliyoianzisha Marehemu Amina Chifupa.

Ni wachache sana Viongozi wenye uthubutu huu.

Let's support this war ingawa bado ukubwa na silaha za Jeshi la adui bado linatafutiwa taarifa zake ili likabiliwe vilivyo.
 
Waziri kivuli wa mambo ya ndani, kamanda kivuli wa kanda maalum, IGP kivuli etc
 
M/kiti aliyerusuhu hoja ya Mh Waitara aliwajibishwa Escrow?? Bunge halina meno, nchi hii mkuu wa kaya ndio kila kitu
 
Amethubutu kuanzisha vita aliyoianzisha Marehemu Amina Chifupa.

Ni wachache sana Viongozi wenye uthubutu huu.

Let's support this war ingawa bado ukubwa na silaha za Jeshi la adui bado linatafutiwa taarifa zake ili likabiliwe vilivyo.
Kwa style hii ya huyo bro mm siwezi unga mkono japo napinga biashara ya madawa ya kulevya 100%. Unaoiganaje vita huna mikakati ya maana? Vita hii ni kubwa kuliko hata ile ya Uganda ndo tunaoigana kizembe hivi kweli? Mijitu inayohusika ni mafia hatari kuliko simba. Hata umalize akina wema mtaani wale jamaa wataanzisha magenge fasta utashangaa kazi kubwa zaidi.

Viongozi wenyewe wanaoambana hii vita kutafuta sifa tu sioni aliye na dhamira ya kweli.

Bado wapambanaji wenyewe maisha yao yanatiliwa shaka. Wanamiliki vitu visivyoendana na vipato vyao halafu kweli ujiite mpambanaji??

Anyway lets see. Nawatakia ushindi japo siamini kama watashinda
 
Back
Top Bottom