Kwa kweli haileti maana kutununulia kivuko chakavu cha mwaka 1978 kwa bei ya kivuko cha mwaka 2015, bilioni 8 kivuko hakieleweki na kinajiendesha kwa hasara tupu.
Tutahoji zaidi utapokuja kwenye kampeni
Atakujibu piga mbizi maana hakuna namna
"Nilitaka chenye uzoefu"
Akikujibu njoo uchukue vocha ya mwaka mzima
Yaani Huyo ndiye msafi kati ya wote! Ukisikia ya wengine unaweza kuzimia!