Mh. Magufuli: Serikali yangu Itajenga Reli kutoka Mtwara hadi Mbamba Bay Ruvuma

Mh. Magufuli: Serikali yangu Itajenga Reli kutoka Mtwara hadi Mbamba Bay Ruvuma

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]DK MAGUFULI AKISHINDA URAIS AAHIDI SERIKALI KUJENGA RELI KUTOKA MTWARA HADI MBAMBA BAY RUVUMA, KUPUNGUZA BEI YA VIFAA VYA UJENZI[/h]



Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM kumnadi mgombea urais Dk John Magufuli wilayani Masasi leo. Dk Magufuli amesema kuwa CCM ikishinda Serikali itajenga Reli kuanzia Mtwara hadi Mbamba Bay Ruvuma

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Masasi, mkoani Mtwara leo.



Mfuasi wa CCM akiwa amejichora usoni huku kidevuni akiwa aqmeandika jina la Mgombea Urais wa Tanzania kuptia CCM, Dk Magufuli.

Wananchi wakishangilia wakati Dk Magufuli akitoa ahadi mbalimbali za maendeleo endaqpo akichaguliwa

Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika leo wilayani Namtumbo, Ruvuma. Dk Magufuli alitangaza kwamba akichaguliwa atahakikisha vifaa vya ujenzi bei yake inashuka kupunguza kodik.

Dk Magufuli akionesha Ilani ya Uchaguzi kabla ya kumkabidhi Mgombea ubunge jimbo la Namtumbo. Injinia Edwin Ngonyani

Mama mkazi wa Kijiji cha Chomolo, wilayani Namtumbo, mkoani, akishangilia baada ya Dk Magufuli kutangaza kwamba akishinda urais kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne hawatolipa ada

Dk Magufuli akihutubia baada ya kuzuiwa na wananchi katika Kijiji cha Kilimasela wilayani Namtumbo, alipokuwa akienda kufanya kampeni Masasi mkoani Mtwara

Dk Magufuli akihutubia baada ya kuzuiwa na wananchi katika Kijiji cha Kilimasela wilayani Namtumbo, alipokuwa akienda kufanya kampeni Masasi mkoani Mtwara

Dk Magufuli akihutubia baada ya kuzuiwa na wananchi katika Kijiji cha Nandembo wilayani Tunduru, alipokuwa akienda kufanya kampeni Masasi mkoani Mtwara

Dk Magufuli akihutubia baada ya kuzuiwa na wananchi katika Kijiji cha Matemanga wilayani Tunduru.

Akina mama wakiwa karibu na mti wenye picha ya Mgombea urais kupitia CCM, Dk John Magufuli

WAFUASI WA ccm wakishangilia wakati Dk Magufuli akijinadi


Ni furaha iliyoje kwa Bibi kizee huyu baada ya kumuona Dk Magufuli wakati wa mkutano wa hadhara mjini Tunduru leo

Dk Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Tunduru
Mrembo akiwa amejiremba ki ccm katika mkutano huo wa kampeni mjini Tunduru

Baadhi ya wananchi wakiwa juu ya ukuta ili wapate kumuona Dk Magufuli akihutubia mjini Tunduru

Dk Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ramo Makani

Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba ya Dk Magufuli

Dk Magufuli akiwapongeza wafuasi wa CUF waliokihama chama hicho na kujiunga na CCM KATIKA MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA MJINI TUNDURU

Mambo ya warembo wa ccm

Msafara wa Dk Magufuli ukiwasili katika Kijiji cha Ligunga, wilayani Nanyumbu, Mkoa wa Mtwara




Mwanafunzi akiwa akiparamia mti ili aweze kumuona Dk Magufuli
​

Dk Magufuli akihutubia wananchi waliomzuia katika Kijiji cha Michiga, wilayani Nanyumbu alipokuwa akienda Masasi kuendelea na kampeni​
 
Back
Top Bottom