Mpira wa kona
JF-Expert Member
- Nov 25, 2016
- 350
- 338
Wadau kuna Mbunge wa Mtera Mh.Lusinde amekuwa msemaji sana Bungeni lakini Kwa sasa simsikii tena hata katika harakati za Jimbo lake .Mh.Lusinde SWAPO Bungeni huwa Na lugha za kuudhi sana.Mh.Lusinde jitokeze huko mafichoni itisha basi hata mikutano Na sisi wapiga kura wako au Pumzi imekata?