Ndugu usiwe kama mjinga, ila uwe mwenye hekima na kuona mbali. Nitakujibu kwa mafumbo.
Hivi umekaa na mkeo miaka 30 ktk ndoa hv unaweza mpandisha mahakaman kwa mambo yanayohusu unyumba wenu?
Ndugu, ni Nia yangu kuendeleza mazungumzo haya kwa hoja. Na iwapo kunatofauti katika namna tunavyo yaona mambo hapa, ni Nia yangu kuleta mawazo yangu kwa hoja tu, na sivinginevyo.
Sasa kwakuanza,
kushindwa kumpeleka mahakamani kunatakiwa kuonyeshe udhaifu upande gani? Wake au wa serikali hii iliyojaa madhambi ya aibu??!
Je nikweli kuwa lowasa ndiye mchafu pekee ndani ya serikali hii dhalimu? Kiasi cha Kum identify yeye tu na kuchafua kwapamoja na kwa nguvu zote namna hii?
Je makosa aliyo fanya lowasa ( kama ni kweli amefanya) ndio makosa makubwa sana kuwahi kufanyika kiasi hata nafasi ya kujitetea mbele ya kamati ile wakaona anyimwe???
mimi nadhani, Akili ya mtu mwerevu kama vile unavyotaka wewe kujipambanua kwa watu hapa, ingetakiwa kujiuliza hapa hasa tatizo liko wapi???
Kwanini
1. Amehukumiwa tu bila kusikilizwa
2. Hajapelekwa mahakamani kama ushahidi wa wizi wake wanao
3. Anatukanwa na kuchafuliwa ilihali yeye amenyamaza, hajibu wala hajitetei
Halafu eti huyu mtu anaeitwa mwizi, mnyonyaji Bado awe na ujasiri wakutaka kuwatumikia watanzania katika nafasi ya uraisi,.
Nasihivyo tu, naapate uungwaji mkono wa maelfu ya watu wana CCM kwa wapinzani?
Jesikweli kuwa kunakitu hawa wanakifahamu???
Ndugu, udhalimu hua na mwisho wake!!
Na haki sikuzote hujitetea yenyewe Ukweli hauwezi kujificha milele,.
Nakuhakikishia wanajua walichomfanyia huyu bwana na wanaogopa sana kurudi kwake!
Sasa kama nikweli wewe si mjinga kama unqvyotaka tuamini, jiulize hayo jipatie majibu halafu jitahidi kuto zungumzia mambo usiyo ya jua kanakwamba unayaelewa sana!
Sasa nasema hivi, Kushindwa Kumpeleka mwizi mahakamani nakukaa kuzungumzia wizi wake majukwaani, kumuhukumu, bila kutoa nafasi ya yeye kusikilizwa si HAKI!!!!!
Kama lowasa (au mtu mwingine yeyote) niwakuhukumiwa basi ni LAZIMA ahukimiwe kwa HAKI!!!!!
Nashukuru,