Mh.LISSU atoa ushahidi bungeni

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,511
Reaction score
11,911
Wabunge wa CCM wameduwazwa na ushahidi wa lissu juu ya uchakachuliwaji wa wajumbe wa mabaraza ya katiba.PIA TUKUMBUKE JANA ITV WALIONYESHA JINSI UKIUKWAJI HUO ULIVYOFANYIKA
Katoa barua iliyoandikwa kwenda kwa viongozi wa serikali na CCM ya kuthibitisha wajumbe walioshinda ambao si wanachama wa ssm katika ujumbe wa mabaraza ya katiba waondolewe
 
sema amesema nini, ukisema amewaduwaza wabunge wa ccm, kwa upande mwingine unatuduwaza na sisi ambao hatujui somo.
 
Wabunge wa ccm wameduwazwa na ushahidi wa lissu juu ya uchakachuliwaji wa wajumbe wa mabaraza ya katiba.PIA TUKUMBUKE JANA ITV WALIONYESHA JINSI UKIUKWAJI HUO ULIVYOFANYIKA

Mbio zote kuja huku kumbe hakuna ulichoandika!
 
Katoa barua iliyoandikwa kwenda kwa viongozi wa serikali na CCM ya kuthibitisha wajumbe walioshinda ambao si wanachama wa ssm katika ujumbe wa mabaraza ya katiba waondolewe
 
Wabunge wa ccm wameduwazwa na ushahidi wa lissu juu ya uchakachuliwaji wa wajumbe wa mabaraza ya katiba.PIA TUKUMBUKE JANA ITV WALIONYESHA JINSI UKIUKWAJI HUO ULIVYOFANYIKA

Ama kweli jina lako ni BONGOLALA. Mbona habari iko nusunusu? Wengine hatujui nini kinaendelea ama hatukuona ITV khs habari yenyewe.
 
Mimi mwenyewe ni kakaangu ambaye ni Ccm kaniambia kuwa wamepewa muongozo huwo wahakikishe wanaochaguliwa wawe ccm.nayeye kachagulwa kwajia hiyo
 
Sijui nami niwaserukambe hawa ccm!pumbavu zao!
 
Katoa barua iliyoandikwa kwenda kwa viongozi wa serikali na CCM ya kuthibitisha wajumbe walioshinda ambao si wanachama wa ssm katika ujumbe wa mabaraza ya katiba waondolewe

Asante mkuu, Big up CDM kila kitu na evidence!! Mapovu yatawatoka hadi 2015 hata ya damu kabisa.
 
Sera ya Katiba ilikuwa ya Chadema lakini ili kuteka hisia ya wananchi CCM wakaiteka sasa unatarajia wataitendea haki wakati hawakuitaka? angalia suala la utekaji wa watu wanaiteka kwa kuwakamata vichaa na kuwapeleka mahakamani ili kuzima mjadala.
 
mimi ndugu alipata mwaliko kuwa bila ccccm mchakato wa katiba hauendi
 
JK hana mpango wa Katiba Mpya bali ni usanii tu ndiyo umetawala hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…