Mh.lema unatumiwa vibaya na cdm

Mh.lema unatumiwa vibaya na cdm

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
943
Reaction score
186
Kuna taarifa za kiuchumi zinadai watali wamepungua kuja arusha. Chanzo ni vurugu za mara kwa mara ktk jimbo la arusha mjini. Mh.lema ni vyema ukajiuliza kwa nini kwenye majimbo yakina mbowe etc hkn vuruguru maandamao.lema vijana wengi wa arusha wanakosa ajili za utali,amani haupo kwa wananchi wako. Jiuleze y ni arusha tu co hai moshi karatu rombo mbeya kigoma arumeru musoma. Mwanza kwa sasa wenje akili imerudi immerudi katulia sasa. Lema litazame hl chadema wanakutumia bila kujua mwisho wa siku wananchi wako hawafanyi kazi,amani hkn,vifo, ajila za utali zimepungua sana kwa vijana. Lema kuwa mbunge wa amani sasa wajenge wananchi wako.
 
No research no right to speak. Toa data Tuku-support. Ila na we unatumiwa vibaya na magamba si ndio. Aaah Usikane.
 
We unatumiwa vibaya na ccm... Wananchi wa arusha walisema hata mkiweka jiwe watalichagua lakini siyo ccm
 
hata mpge debe vpi, jimbo la arusha mjini hamtalipata ccm tena. Wananch wameshawachukia. Hata mkimuweka mkapa na CDM wakaweka chupa ya bia, hamtashnda milele. Wanaarusha washajitoa kuwa ukombozi wa Tanzania lazima uanzie kwao kama mfano.
 
Kuna taarifa za kiuchumi zinadai watali wamepungua kuja arusha. Chanzo ni vurugu za mara kwa mara ktk jimbo la arusha mjini. Mh.lema ni vyema ukajiuliza kwa nini kwenye majimbo yakina mbowe etc hkn vuruguru maandamao.lema vijana wengi wa arusha wanakosa ajili za utali,amani haupo kwa wananchi wako. Jiuleze y ni arusha tu co hai moshi karatu rombo mbeya kigoma arumeru musoma. Mwanza kwa sasa wenje akili imerudi immerudi katulia sasa. Lema litazame hl chadema wanakutumia bila kujua mwisho wa siku wananchi wako hawafanyi kazi,amani hkn,vifo, ajila za utali zimepungua sana kwa vijana. Lema kuwa mbunge wa amani sasa wajenge wananchi wako.

Vurugu anafanya Pinda na Mkuchika Arusha wanalazimisha kutawala manispaa ya arusha ili waibe mapato sio Lema, mwambie huyo mumeo alokutuma tumekustukia
 
Kuna taarifa za kiuchumi zinadai watali wamepungua kuja arusha. Chanzo ni vurugu za mara kwa mara ktk jimbo la arusha mjini. Mh.lema ni vyema ukajiuliza kwa nini kwenye majimbo yakina mbowe etc hkn vuruguru maandamao.lema vijana wengi wa arusha wanakosa ajili za utali,amani haupo kwa wananchi wako. Jiuleze y ni arusha tu co hai moshi karatu rombo mbeya kigoma arumeru musoma. Mwanza kwa sasa wenje akili imerudi immerudi katulia sasa. Lema litazame hl chadema wanakutumia bila kujua mwisho wa siku wananchi wako hawafanyi kazi,amani hkn,vifo, ajila za utali zimepungua sana kwa vijana. Lema kuwa mbunge wa amani sasa wajenge wananchi wako.

Aliye anzisha shida Arusha kakimbilia kusema huenda ni maadui wa nje. Wewe unasema ni Lema ndio ameleta vurugu. Tumuamini nani kati yako wewe na Mwigulu?
 
Kuna taarifa za kiuchumi zinadai watali wamepungua kuja arusha. Chanzo ni vurugu za mara kwa mara ktk jimbo la arusha mjini. Mh.lema ni vyema ukajiuliza kwa nini kwenye majimbo yakina mbowe etc hkn vuruguru maandamao.lema vijana wengi wa arusha wanakosa ajili za utali,amani haupo kwa wananchi wako. Jiuleze y ni arusha tu co hai moshi karatu rombo mbeya kigoma arumeru musoma. Mwanza kwa sasa wenje akili imerudi immerudi katulia sasa. Lema litazame hl chadema wanakutumia bila kujua mwisho wa siku wananchi wako hawafanyi kazi,amani hkn,vifo, ajila za utali zimepungua sana kwa vijana. Lema kuwa mbunge wa amani sasa wajenge wananchi wako.

Leo posho hupati. Huu uzi hauna mashiko.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Unaweza kusema ni fujo zipi. Na ni nani chanzo?na zinatokea wakati gani? Na fujo ni nini?
 
Pinda haeshimu sheria na mkuchika unalazimisha meya na madiwani mpaka mabomu kwenye kufunga kampeni aibu kwa policcm na viongo hata watoto wanajua Mh. Lema hana neno at all
 
Mauaji yote ya arusha yakifanywa na walio na silaha ambao ni polisi.ungesema polisi ndo wanatumiwa vibaya na ccm.acha upambe
 
Waulize CCM waliolipua bomu ndio wanaokimbiza watalii
 
Achana na kuandika pumba, fikiri kwa kina badala ya kuruhusu kutumika na magaidi na wauaji wa magamba.

Kuna taarifa za kiuchumi zinadai watali wamepungua kuja arusha. Chanzo ni vurugu za mara kwa mara ktk jimbo la arusha mjini. Mh.lema ni vyema ukajiuliza kwa nini kwenye majimbo yakina mbowe etc hkn vuruguru maandamao.lema vijana wengi wa arusha wanakosa ajili za utali,amani haupo kwa wananchi wako. Jiuleze y ni arusha tu co hai moshi karatu rombo mbeya kigoma arumeru musoma. Mwanza kwa sasa wenje akili imerudi immerudi katulia sasa. Lema litazame hl chadema wanakutumia bila kujua mwisho wa siku wananchi wako hawafanyi kazi,amani hkn,vifo, ajila za utali zimepungua sana kwa vijana. Lema kuwa mbunge wa amani sasa wajenge wananchi wako.
 
Kuna taarifa za kiuchumi zinadai watali wamepungua kuja arusha. Chanzo ni vurugu za mara kwa mara ktk jimbo la arusha mjini. Mh.lema ni vyema ukajiuliza kwa nini kwenye majimbo yakina mbowe etc hkn vuruguru maandamao.lema vijana wengi wa arusha wanakosa ajili za utali,amani haupo kwa wananchi wako. Jiuleze y ni arusha tu co hai moshi karatu rombo mbeya kigoma arumeru musoma. Mwanza kwa sasa wenje akili imerudi immerudi katulia sasa. Lema litazame hl chadema wanakutumia bila kujua mwisho wa siku wananchi wako hawafanyi kazi,amani hkn,vifo, ajila za utali zimepungua sana kwa vijana. Lema kuwa mbunge wa amani sasa wajenge wananchi wako.
kwenye bajeti itabidi muongezewe japo 1% maana kazi mnayofanya buku 7 haitoshi
 
Back
Top Bottom