Mh. Lema na CHADEMA acheni ulaghai!

LEMA amefanikiwa kutuunganisha wana Arusha wote na kutujengea ujasiri na sisi tu majasiri na ni mfano wa kuigwa Tanzania yote.
 
Kwa bahati mbaya sisi wengine si wana-arusha,hivyo hatuwezi sana kutolea ufafanuzi juu ya hizo ahadi.Nadhani Lema ana nafasi nzuri ya kujibia hili.Ila tayari umetanguliza tuhuma na lawama sidhani kama atajibu,jaribu kumuuliza taratibu.Au tukutafutie namba yake ya simu umpigie?
 
Huyu mtoa mada nina mashaka nilimwona, maana nilikuwa nimekaa mahali na watu kama watano akiwemo diwani moja. Anyway, labda mawazo yao yalifanana.

Katika mazungumzo yetu tulikuwa tunajadili maendeleo ya chama, then jamaa moja kaongelea hii mada ya ahadi za Lema, tena kazungumzia kuwa miaka mitatu imepita hakuna kitu. Japo nilimjibu pale inabidi nirudie hapa.

Hivi miaka mitatu unayozungumzia kwa Lema ni ipi? Lema alivuliwa ubunge, akakaa nje ya bunge almost miaka miwili, yote haya yamesababishwa na serikali ya ccm.
Kuna mambo mengi na muhimu ambayo Lema ameyafanya nchi hii ambayo ni muhimu kuliko ahadi za ubunge.
Kuwapatia watanzania ukombozi wa fikra, ambao umewafanya watanzania wengi wajitambue ni jambo kubwa kuliko Machinga Complex, ni kubwa kuliko ArDF

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Hivi ahadi alizotoa Kikwete na Maccm wenziwe ametimiza iko wapi Meli kubwa zaidi ya Mv Bukoba aliyoahidi Hadi leo wakati ndio wanaokusanya kodi?Ziko wapi Hospital saba za rufaa ambazo aliahidi kuwa atazipandisha kuwa na Madr wa ukweli wakutibu karibu magonjwa yote kiasi kwamba huhitaji kwenda Muhimbili kama ilivyo sasa.Acheni unafiki nyie wezi na wauza madawa ya kulevya UNGA na wauaji wa Tembo,Juzi kama mlisoma Kwa News kinachoendelee Arusha jiji liko juu sasa Kwa ajili ya uchapakazi wa Madiwani wa CHADEMA Hadi mianya ya rushwa imekamatwa vibaya sana Kwa uchapakazi mwema wa Madiwani wa CHADEMA wakishilikiana na Mkurugenzi Hadi Meya wa Kichina anacganganyikiwa maake ile kula yake ndio hio inaelekea kuzimu Hadi Maccm wanaandaa maandamano ati Mgurugenzi anatimiza mikakati ya CHADEMA teh teh at yanasema Mkurugenzi ni Chadema Kwa kuwa tu ati alikubaliana na hoja za msingi za Madiwani wa Chadema wakiongozwa na Mwamba,Kmanda Lema kutetea maslhi ya wana Arusha na Kwa taarifa zenu nyie kina Chris Lukosi mganga njaa na mtumwa wa Maccm kisa umepewa tenda ya kupeleka takataka Bongo nataka mfahamu kwamba Arusha sasa iko juu Hadi ukasanyaji wa kodi umepaa Kwa kutokomeza baadhi ya wizi wa Maccm na kuhusu hiyo stendi mbona ni kitu kidogo sana pia Machinga Compleks mkumbuke Mh Lema kama Mbunge hawezi kutoa hela mfukoni mwake na kujenga Compleks ni kodi za wana Arusha ndio zitajenga na kubadilisha stendi ya Arusha Kwa usimamizi Wake kama walivyoanza kuibana Municipal now sasa mapato yanapaaa kila uchao so subirini maendeleo zaidi chini ya Chadema.
 
Hizi ahadi ni mojawapo ya ahadi alizozitoa kwenye kipindi cha kampeni, tena alizirudia tena kwenye kipindi cha Televisheni kilichoitwa MCHAKATO MAJIMBONI..najaribu kuwasiliana na TBC kama nitapata Nakala ya kipindi hicho niibandike hapa!
Tunahitaji utekelezaji na sio matusi! Tofauti ya CHADEMA na CCM ilitakiwa ionekane hapa! sio mnaiponda CCM kumbe na nyie ni wale wale!
 
Mungi kwahiyo ahadi za Machinga Complex na lile trekta zimeshamezwa na kazi "UKOMBOZI WA FIKRA"?
 
Last edited by a moderator:
Hivi LEMA kapotelea wapi siku hizi?

Maandamano, vurugu na uchozi kimya kabisa siku hizi

Kweli nimeamini ngoma ya kitoto haikeshi.....

Kwani wewe umepotelea wapi?.. haahaaahaaaaaa...Kwani wewe unakesha hapo unafagia ofisi haaaaa haaa Le mutuz.....!
 

Tunazungumzia ahadi za Lema na Sio za KIKWETE, back to the topic!
 

kukumbushana ni vizuri lkn ungefanya conclusion yako baada ya kupata majibu ya mhs lema. Hata hivyo hiyo id yako inapoteza mshiko kwa namna fulani. Ni hayo tu kwani hapa jamvini tukubaliena ni mahali pa kujifunza mengi na labda tuko pamoja mkuu!
 
Mungi kwahiyo ahadi za Machinga Complex na lile trekta zimeshamezwa na kazi "UKOMBOZI WA FIKRA"?

Nilichokuwa nasemea siyo ahadi zake kumezwa na ukombozi, bali muda uliotaja hauendani na uhalisia.
Lema alikuwa nje ya bunge takriban miaka miwili. Hata hivyo imani ni kwamba ahadi za Lema zinatekelezeka, siyo Trekta na Machinga Complex pekee, bali kuna mengi ambayo hayakuwa kwenye ahadi zake atazitekeleza kabla ya 2015.

Lakini pia utambue kuwa baadhi ya Ahadi nyingi za chadema na Lema zilitegemea endapo CHADEMA wangeshinda uchaguzi, hivyo unapozungumzia ahadi za Lema ambaye chadema haikushinda Uchaguzi mkuu unatakiwa ujaribu ku refer kwenye ahadi za Dr. Slaa. Maana watu wenye upeo mdogo wanaweza kumdai Slaa alizoziahidi wakati wa kampeni

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Nijambo la msingikumkumbushu mtu wajibu wake ilaniwakumbushe nanyie nyinyiemu mtambebesha kesinyingi iliashindwe kutimiza hizoahadi 2015 mpatecha kusema sombetini mmmekosa mtu atakae simmama nafasiya udiwani mbunge itakuwaje nnaimani GOD BLESS ARUSHA LEMA NIMMTU MWELEWA NA MSIKIVU ATAZITIMIZA nikuombe NDG ujumbbe. Huu uwatumie wajukuu WA bikidude Pindar.wasira MAKINDA WAPE SALAMU PIA NKAMIA MR F*K. LUSINDE. Job ndgay. Fair play. Kwa mpina. Filkunjombe
 
,kajipange upya
 

Mkuu LEMA alisimamishwa ubunge kwa miezi nane tu, na sio miaka miwili kama unavyodai! halafu Kumbe mgombea mbunge akitoa ahadi halafu Chama chake kisipochukua dola ahadi zinapotelea hewani?
 
Kama kuna mtu ambaye anaamini kuwa chadema italeta maendeleo anajidanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…