Mh?kikwete mbona hujanilipa mshahara ?

Mh?kikwete mbona hujanilipa mshahara ?

KAYILAZ

Senior Member
Joined
Nov 14, 2014
Posts
195
Reaction score
30
tumezoea kulipwa mishahara kabla ya sikukuu.ina maana serikali yako jakaya imetusahau watumishi kwenye hii sikukuu?
 
Serikali sikivu hii bila shaka wamesikia. Saada Mkuya,waziri wa fedha uko wapi? Au mmekwapua zote mpaka mishahara?
Sifa ya serikali corrupt ni kutokusanya kodi.
 
Back
Top Bottom