Songoro
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 4,122
- 1,022
Nasikitika kusema... Huyu Bwana Jakaya tangu siku nimeona picha aliyopiga na kijana wa Kitanzania anayecheza mpira wa kikapu ughaibuni (Hashim Thabit) huku kijana akiwa amesuka nywele zake... Tena ktk Ikulu yetu! Simjazi kamwe Rais wetu.
Acha ushamba wewe,ulitaka Hashim afumue Nywele kisa anenda kumuona Rais?nini kusuka AG wa Kenya ana kitu cha Heleni laki mambo mswano.Kikwete sio Mluga luga kama wewe, Nyerere mwenyewe alikutana na Bob Marley Harare 1980 kwenye Uhuru wa Zimbabwe Bob akiwa na Msokoto na kitu cha Rasta!