Mh Kessy analipuka Bungeni

Mwenye majibu tafadhali namuomba anijibu suali langu hili, Iko wapi Tanganyika?
 
Vilaza wengine matatizo kweli, yani ushaambiwa Zanzibar inalelewa kama mke alafu alafu unauliza Tanganyika iko wapi? Ngonjeeni mpupumuliwe kisogoni ndio mtajua Tanganyika ipo wapi.

Wakupumuliwa kisogoni ni wadanganyika kwani licha ya kuwa Kessy kasema ukweli lakini vile vile usipinge ukweli kuwa wazanzibari wengi hawautaki muungano na hilo hawalifichi, sisi ndugu zangu nyie munaoshangilia ukweli wa Kessy mbona hatuoni juhudi kama za wazanzibari za kutetea Tanganyika yenu au munaona mukiikosa Zanzibar mtakosa mabwana wa kuwafundisha ustaarabu. Pazeni sauti mudai Tanganyika yenu kama wanavyodai wazanzibari Zanzibar yao kwa kipindi cha zaidi miaka 40.
 

tatizo waTanganyika hamjielewi sisi wazanzibar tushakataa muungano zamani tangu ezni za karume mwenyewe na ndo sababu ya kuuwawa, Akaja Aboud jumbe na kuendelea mpk mwisho kina sheikh faridi
 
Jamaa ameongea facts kwakweli...hao waliokuwa wanamjibu ndo walikuwa wanapasha....kila time wanaomba miongozo wakati kila kitu kiko wazi...hadi inakera yani

hamjijui tanganyika inaendeshwa na mapato ya muungano ndo maana mnaung'ang'ania. nyie maskini sana ndo maana kazi zenu kuuza kashata, jojo maji n.k. ntaftieni mzanzibar ambae anatembeza vitu hivyo njiani mtamuona.
Zanzibar maji safi hamna hata typhoid na uti huku ndo magonjwa yenu mnanuka njaa.
njoni Zanzibar no malaria, no typhoid, no njaa.
umeme mpk vijijini.
tunalipa gharama ndogo ya umeme kuliko nyinyi.
serikali yenu matapeli sn.
 
kessy yuko right kabxa,,.. hawa rangi ya njano wanajifanya kama hawaoni kumbe wanaona, ccm wanacho kifanya ni kutetea masilah ya watu wachache
 

he! kumbe zanzibar matajiri lakini bado wake zenu wanalelewa na watanganyika...loh!
 
Yaani CCM na viongozi wake wanavyoing'ang'ania Zanzibar na muungano(tena hata gharama ya damu za watu,rejea kauli ya Wassira kwa mh Kessy) ,kana kwamba Tanganyika haiwezi kusurvive ikiwa peke yake.Hii aibu kubwa,kwani Watanganyika tunaonekana wapumbavu tena makubwa jinga mbele ya macho ya ulimwengu.
 

Kama tutaendelea kuwalisha na kuwavisha WAKE ZENU, lazima tuwa f...re, there is no free lunch in this world. Endeeleni kushangilia jasho la wanaume wenzenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…