Leo mazingira yalinilazimisha nione hayo unayoyasema. Hakika ameonyesha hamu kubwa ya kuwa kwenye "spotlight" kwa kuongezea alikua anapokea yeye zawadi na kuwakimbelembele kwenye kila tukio. Kwa kifupi HUYU mama Hana busara hata punje. Hutuba yake ni dharau Tupu kwa mkwe wake. Na ndio viongozi wetu. Tunahitaji mapinduzi....Naangalia kipindi cha chereko kinachorushwa na tbc.mtoto wa jenister mhagama anaitwa regina anafanyiwa kitchen party. Mama kageuka mc.had mc kamwambia matron afanye kaz yake kwan mama mtu amekata keki,amewalisha.eti kaka yake na bibi harus mtarajiwa alitaka kuhudhuria kitchen party. Mwanamme wap na wap kwenye ktchn party. Mh komba na muhagama wanakata mauno. Harus kila kitu unawaachia wana kamati wanafanya kila kitu.Hapa tunaonyeshwa nini?tuna wabunge wa aina gani? Hii ndiyo style ya ma-ccm kudandia kila kitu mf. Katiba, ajenda ya ufisad nk?
Naangalia kipindi cha chereko kinachorushwa na tbc.mtoto wa jenister mhagama anaitwa regina anafanyiwa kitchen party. Mama kageuka mc.had mc kamwambia matron afanye kaz yake kwan mama mtu amekata keki,amewalisha.eti kaka yake na bibi harus mtarajiwa alitaka kuhudhuria kitchen party. Mwanamme wap na wap kwenye ktchn party. Mh komba na muhagama wanakata mauno. Harus kila kitu unawaachia wana kamati wanafanya kila kitu.Hapa tunaonyeshwa nini?tuna wabunge wa aina gani? Hii ndiyo style ya ma-ccm kudandia kila kitu mf. Katiba, ajenda ya ufisad nk?

Everyone anayo personal life yake. Huwezimkemea mtu kwa kusherekea arusi yA mwanae the way apendavyo. Hayuko Bungeni wala haihusu jimbo. Ni sawa na kuja kumsema mbunge kwa namna anavyomkunja na kumkunjua mwenzi wake katika tendo la ndoa!!
Mama anadhani binti kafata tv kule ee
Eeheeee, nimekumbuka kweni binti kafata nini vile?