nlipenda sana mchango wake jana japo alionekana kama ana rap hasa aliposema mkulu anatisha watu kua kukiwa na serikali 3 jeshi linaweza kupindua nchi ndo akasema wanajesh ni rfk zetu ndugu zetu hata tunakua nao club au mbona hata mkulu mwenyewe ni mjeda au komba ila walivua gwanda...ndo akasema tusitishane kama raia wamekubali rerikali 3 ipitishwe ili badae tusije kuzinguana