[h=3]
[/h]
Hali inaendelea kuwa mbaya kwa UKAWA baada ya Mheshimiwa John Magufuli alipo tinga Same na kuiteka kwa sera zenye mshiko. Wakazi wa Same kwa kauli moja wamesema sasa kura zao zote watampa Mh. Magufuli maana sera zake ni za ukweli na zinazingingatia kujenga nchi na sio maslahi ya watu binafsi.
Wakazi wa Same walisema pia, Mh. Magufuli ndie chaguo bora kwa Tanzania maana ana sifa za Urais na kazi zake kama Waziri wa Ujenzi zinaonekana.
Na Mr Chin