Wadau kila binadamu ana
wakati wake wa kuweka historia.Simaanishi kwa mzee wetu WARIOBA suala la
rasimu ya katiba ndio histori kwake hapana mengi kafanya lakini hili ni
alama ya kipekee.Siku za karibuni mzee WARIOBA ameingizwa katika vita
ambayo wanaomshambulia wengi ni watu kutoka chama chake hasa viongozi wa
nchi.
Kinachotungaza WARIOBA alipoanza kazi walimtia moyo na kumsifia ila
alipoonyesha mafanikio WAMEINUA VIKWAZO.Mdau mnadhani WARIOBA si mtu
mzuri ni MSALITI maana hapendwi ndani ya CCM.Au walimwandaa ilihali
walijua atapitsha matakwa ya wananchi ambayo wao hayataki ili baadae
waseme alikuwa mmojawapo wa G...Kabla hatujamshudia katika dk 45 kama
tulvyoambiwa tumtafakari WARIOBA anastahili kueshimiwa kwa kufuata tunu
za taifa kama UADILIFU.
Najua kuna watu wanajiandaa kupinga atakachosema na hawapo tayari
kumsikiliza.TAFAKARI YAKO JUU YA WARIOBA NAINGOJA ILI NIJIONGEZE
NITAKAPOMWONA KATKA DK 45
Tusishangae akijakuongea vitu tusivyovitarajia,,,,anaweza kuikana hata rasimu ya katiba na kusema kuwa wenzie walimshinikiza kuweka katiba tatu,,,,CCM wamzoea vya kunyonga,,,,,,,,
Unajua ccm wanashndwa kumuelewa huyu Mzee, rasimu ile imeandaliwa kwa ueledi mkubwa co takwimu tuu zilizotumika,kama walitaka serkali mbili c wangeweka kwenye TOR coz tume ilipewa jukumu la kuja name muundo ambao utasaidia kuondoa kero za muungano bila kuvunja muungano, serkali moja imekataliwa mbili znakero what do u go about? Kwa wataalamu watachangia nchi zote ambazo zona constitution supremacy haitakiwi kuwe name migongano ndani ya katiba. Angalia katiba ya Kenya kuhusu haki ya mwanamke na mwili wake utaeelewa. Warioba anajua tumckilize tumuelewe hoja zake. Team warioba mtanielewa team mngulu I'm not bothered with ur comments
Wadau,
Mh. Jaji Warioba leo ataunguruma kupitia ITV kwenye kipindi cha DK 45. Atakuwa akihojiwa na Buhohela. Naamini ataweka sawa mipaasho ya UKACCM (UMOJA WA KATIBA YA CCM) waliobaki bungeni na pia atatoa ufaafanuzi wa masuala ya msingi yaliyo ibuliwa na UKAWA (UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI). Stay tuned...
Tatizo hicho kipindi hakitoi fursa kwa watazamaji kutoa mchango wao pale mtangazaji anapoishiwa na maswali au ufafanuzi. Ni kipindi kizuri lakini kipewe muda na kishirikishe watazamaji