Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,584
Duniaaa imeishaaa kabisaa
Wiki kadhaaa zilizopitaa jirani mmoja anayekaa kona alipatwa na majanga
Mtoto wa mjomba wake anayeka naye aliaanza kuiba mtaani.. Walipomjuisha akatafuta njia wakamkamata na kumweka ndani baadaye akatoka. Alipotoka alikaa mwezi akaiba tena na kukimbia.. Watu wakamfwata kumweleza wakamshauri akimwona wajulishe polisi
Alipomwona sehemu akaenda mbezi polisi kuwaeleza.. Wakaenda kumkamata na walipoanza kumpiga na kumuuliza vitu umeweka wapi vya wizi.. Akamtaja mjomba wake. Polisi wakaelekea nyumbani kwa bwana Petro.. Wakasachi nyumba nzima hawakupata kitu
Polisi wakawachukua wote kilichompata petro ni kupigwa na kuingiziwa chuma nyuma. Madamu yakaanza mtoka.... Walipoona kazidiwa wakamwita mkewe amchukue wakamkimbiza tumbi ametoka tumbi yuko muhimbili. Jana wamepeleka malalamko na picha akiwa ana bleed kwa mkuu wa wilaya naamini atasaidiwa
Si huyu tu kituo cha mbezi ni kichafu kupita maelezo kwa uonevu niliwahishauri hapa eaondolewe wapelekwe hata kibaha wote waletwe wapya wamewazoea vibaya wananchi hata ukitaka kumuweka jirani yako ndani ni wewe tu na polisi....
Kwa sasa mgonjwa yuko muhimbili ICU ameletwa baada ya hali kubadilika.. Na ukimuliza mkuu wa kituo anakwambia hajasikia tukio kama hilo.. Mungu awasamehe
Tunashaurii mkuu IGP huyu polisi aunganishwe kusimamishwa na wale wa madawa ya kulevya
Kwa habari zaidi ya tukio hili cont 0653 0380523