Tatizo la wanaume wengine neno nakupenda kwa mkewe ni nadra sana ndio sababu ya majibu hayo!
Afu wewe. Nikikukamataaaa!!!
Dear you made my whole week !! Asante....Mie naona namba 4 na 5 ndiyo kiboko kujibiwa na mke wako hivyo
Hahahaaa, hapo ndiyo utaniambia ni nani na nani huwa wanakutumia msg za mapenzi mpaka mimi mumeo unimix!..lol