Mh Freeman Mbowe ktk uzinduzi wa kanda ya kaskazini

Mh Freeman Mbowe ktk uzinduzi wa kanda ya kaskazini

olevaroya

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
1,224
Reaction score
512
Mh Mbowe akizindua kanda ya kaskazini leo kwenye ukumbi wa Njiro Complex amesema chama cha Demokirasia na Maendeleo akina dini wala akifungamani na Dini yoyote bali kinaeshimu dini zote na kila mtu ana haki ya kuabudu jinsi anavyotaka na kiongozi yoyote wa Chadema atakayekashifu Dini ya mwenzake iwe ni MKIRISTO au MUISLAM tutamfukuza mchana kweupe atutajali cheo chake,KWASABABU kama dini yako ni nzuri kuliko ya mwenzako akuna awezaye kuhukumu KWASABABU ukumu ni kazi ya MUNGU,pia akazungumzia kuusu Padri aliyeuawa na mchungaji aliyeuawa Geita akasema yote haya ni kutokana na CCM kupandikiza udini na sasa matokeo yake ndo haya,wamelikoroga sasa walinywe,bali tunachotaka Serikali ya chama cha Mapinduzi watuachie nchi yetu ikiwa salama kama jinsi ilivyokuwa kwa waasisi wa Taifa hili MWISLAM anaona MKIRISTO na MKIRISTO anaoa MWISLAM ,na tukishirikiana kwa kila jambo,Aluta Continua.
 
Mkuu ukumbi wa Njiro Complex mbona mdogo sana mmeeneaje hapo
 
Hizi ndizo busara tunazozimiss kwenye Uongozi wa nchi yetu.
 
Naaaaaam! Pamoja sana olevaroya; bila shaka gari la matangazo litapita huku kwetu Ngaramtoni kuwajuza wananchi.
Ila Mi nitaweka kambi hapo Njiro Complex soon!

Asante sana kwa taarifa hii!
 
Last edited by a moderator:
Mh Mbowe akizindua kanda ya kaskazini leo kwenye ukumbi wa Njiro Complex amesema chama cha Demokirasia na Maendeleo akina dini wala akifungamani na Dini yoyote bali kinaeshimu dini zote na kila mtu ana haki ya kuabudu jinsi anavyotaka na kiongozi yoyote wa Chadema atakayekashifu Dini ya mwenzake iwe ni MKIRISTO au MUISLAM tutamfukuza mchana kweupe atutajali cheo chake,KWASABABU kama dini yako ni nzuri kuliko ya mwenzako akuna awezaye kuhukumu KWASABABU ukumu ni kazi ya MUNGU,pia akazungumzia kuusu Padri aliyeuawa na mchungaji aliyeuawa Geita akasema yote haya ni kutokana na CCM kupandikiza udini na sasa matokeo yake ndo haya,wamelikoroga sasa walinywe,bali tunachotaka Serikali ya chama cha Mapinduzi watuachie nchi yetu ikiwa salama kama jinsi ilivyokuwa kwa waasisi wa Taifa hili MWISLAM anaona MKIRISTO na MKIRISTO anaoa MWISLAM ,na tukishirikiana kwa kila jambo,Aluta Continua.
ni kweli ndg.mbowe.kanena haya yote ni matokeo ya ccm na kundi la mtandao.ili tokea 2000-2005 kwa cuf kwamba ni chama cha kidini 2010 ilikua ni dhamu ya cdm na mbegu hiiili pandwa sana 2010 katika kampeni wana mtandao walipita kila maali na kuwagawa watu ili kupata kura.na watu bila kujua lengo la awa makafri.walikubali kula hii sumu ya wana mtandao.na matokeo yake yanaonekana leo.katika ili ccm aitakwepa dhambi hii kwa dam.zinazo mwagika sasa kwa sababu ya uroho wao wa kuendelea kutawala kwa njia yoyote atakama itakua na madhara kwa taifa.wao awajali.leo wameona kete ya udini ili fanikiwa.2010 sasa wameamia kupandikiza sumu nyingine kwa cdm kwamba ni chama cha kikanda.nakuanza kuwatumia baadhi ya wanachama wasio waaminifu katika chama kutekeleza mipango yao.yenye sumu kali sana kwa taifa na kulibomoa.dhambi hii itawatafuna 2015.watanzania tuungane kumwondoa mdudu huyu hatari kwa taifa letu tanzania.
 
kwa sasa kikwete anavuna alichokipanda, viongozi wa nchii hii wapo tayari hata kutoa uhai wa mtu/watu ilimradi wapate madaraka, na wananchi ni mda sasa wa kutoka kwenye makaburi ya fikra na tuiondoe ccm pasipo kuangalia suala la udini,ukanda, na ukabila, kwani ccm wanatumia systeam ya divide and rule
 
"chama cha Demokirasia na Maendeleo akina dini wala akifungamani na Dini yoyote bali kinaeshimu dini zote na kila mtu ana haki ya kuabudu jinsi anavyotaka na kiongozi yoyote wa Chadema atakayekashifu Dini ya mwenzake iwe ni MKIRISTO au MUISLAM tutamfukuza mchana kweupe atutajali cheo chake,KWASABABU kama dini yako ni nzuri kuliko ya mwenzako akuna awezaye kuhukumu KWASABABU ukumu ni kazi ya MUNGU"

Haya ndio maneno yanayotakiwa kutolewa na kiongozi wa ngazi za juu kama pinda au jk mwenyewe na since wao wana serikali wala usingeckia haya yaliyotokea leo zanzibar
 
Kwa masikitiko makubwa,tuendelee kulaani matukio haya ya kinyama kwa kisingizio cha imani za kidini.Naamini hakuna dini inayoruhusu kuua,huu ni uhalifu na ushetani kwa kivuli cha imani.Kulaani tu haitoshi ila sasa tuendelee kushinikiza serikali ionyeshe uongozi thabiti.Umoja wetu wa kitaifa uko mashakani.Nawaasa Wakristu tusiwachukie waislamu wote kwa sababu ya uhalifu unaofanywa na kundi haramu.Tukio hili lituunganishe sisi kama ndugu ndani ya Taifa Moja.Adui yetu mkubwa na Ujinga,Uongozi mbovu wa serikali ya Chama cha Mapainduzi na ufisadi unaotugharimu bila kujali itikadi za kidini

Chuki za kidini zimepandikizwa kwa muda mrefu.Udhaifu wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete umetoa fursa kwa chuki hizi kujitokeza wazi wazi.Hatujawahi kushuhudia katika awamu yoyote hapo kabla kwa mfano Suala la Kuchinja vitoweo likatolewa Tamko na Waziri .Udhaifu wa uongozi ndiyo kichocheo kikubwa na kinachotoa nafasi kuibuka kwa makundi ya kigaidi na mitafaruku ya kijamii na kisiasa(Sub-Nationalism).Hili limesisitizwa sana Katika taaluma ya Diplomasia kwenye somo la Ulinzi na Usalama (Defence Strateggy and Intelligence)

Kama sula ni Muungano ninaendelea kutoa maoni kwamba suala la Zanzibar lijadilike kwa uwazi na kama wanataka kujitenga waachwe wajitenge.Mabavu hayatatusaidia huko mbele ya safari.Hata hivyo umuhimu wa muungano wa serikali Tatu hauwezi kuepukika ili kila Taifa liwe na uhuru wake na tuungane kwa utashi wa utaifa wetu.Serikali iliyoshindwa inafurahia kuona wananchi wake tukijadili kuhusu imani zetu badala ya matatizo yetu ambayo hayachagui dini,kabila wala rika

Though UAMSHO is not claiming responsibility the existence of extremist groups is obviously a consequence of the failure of the Tanzania state to live up to its responsibility to its people

I did so to draw attention to the fact that religious zealotry is not new in the nation, nor is it limited to the "unwashed masses" who have been programmed into killing, at the slightest provocation or none, in the name of faith. Unfortunately, far too many have succumbed to the belligerent face of fanaticism, believing that any form of excess is divinely sanctioned and nationally privileged.

Much play is given, and rightly so, to economic factors-unemployment, misgovernment, wasted resources, social marginalization, massive corruption-in the nurturing of the current season of violent discontent. This horde has remained available to political opportunists and criminal leaders desperate to stave off the day of reckoning.
Most are highly placed, highly disgruntled, and thus highly motivated individuals who, having lost out in the power stakes, resort to the manipulation of these products of warped fervor.

Rather than act in defense of Tanzania's Constitution, past rulers have cosseted the aggressors for short-term political gains. However, those who have tweaked the religious chord are discovering that they have conjured up a Frankenstein.
 
Umenena Ben wa saanane,hawa magamba wamelikoroga wenyewe watalinywa
 
Imetulia na hongereni. Nawatakia kila la heri ktk utekelezaji wa maazimio na mikakati yenu, MUNGU awatangulie
 
Siasa ni kurushiana mpira nani aliyepanda udini katika uchaguzi uliopita leo mnarusha mpira hamuutaki,pia sikubaliana na sera za ukanda zimekaa kibinafsi sana kwa taifa
 
Mbowe aendelee kulizungumza hili tena na tena, hakuna propaganda mbaya kwa chadema kama hii, nami naungana na mwenyekiti kwamba yeyote katika chadema atakayejipambanua kwa udini asivumiliwe..
na pia nawaomba wana Jf kujitahïdi na kuwa mfano kwa namna tunavyojadili maada zinazohusu dini za wenzetu
 
Siasa ni kurushiana mpira nani aliyepanda udini katika uchaguzi uliopita leo mnarusha mpira hamuutaki,pia sikubaliana na sera za ukanda zimekaa kibinafsi sana kwa taifa
wun,
Nadhani tatizo ni uelewa wako na kutotaka kujifunza tu, ukanda ni kama mikoa iliyotanuliwa na kufanywa utawala kuwa mkubwa zaidi, hakuna la ajabu hapa, kuna hofu ya kisichoonekana kichwani mwako, na kama si hivyo tupe mifano ya nchi zinazotumia njia hii na madhara yake na mie ntakupa mifano ya njia hii na faida zake
 
Back
Top Bottom