utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Huyu ni DC na kada wa CCM ambaye pia katabia ka ufisadi amekuwa nacho tangu akiwa chuoni pale mzumbe nakumbuka alivyokula pesa za serikali ya wanafunzi (MUSO) akiwa kama Vice President. Jamaa huyu ni hatari sana kwenye issue ya pesa. Kuwa kada wa CCM naona yupo uwanja wa nyumbani kabisa.
Weka ushahidi, ikiwemo vielelezo sio unabweka kama mbwa aliyezaa
Kweli kabisa kaka mods fanyeni kazi yenu haraka! Huu ni umbea na uzandikihakika mkuu, ifike wakati jf iheshimike, sio mtu anakuja na majungu tu hapa kisa anamchukia flani.
cc.
mods wote ...kwa hatua zenu
umetumwa na slaa uje umchafue kwa sababu ya ukada wake wa ccm???
Majungu at work! Kingu is very smart guy, na kiongozi mzuri!
Ukiambiwa ndio alikuwa chanzo cha ule mgogolo wa ardhi kule Igunga katika kijiji cha Isakamaliwa kilichosababisha vifo zaidi ya 20 baada ya kujimilikisha eneo kubwa la ardhi nalo utalikataa.kingu ni ngumi jiwe anawakimbiza ndio mana mnamtungia uongo
Kingu wee ni mfano bora wa kuigwa
Ukiambiwa ndio alikuwa chanzo cha ule mgogolo wa ardhi kule Igunga katika kijiji cha Isakamaliwa kilichosababisha vifo zaidi ya 20 baada ya kujimilikisha eneo kubwa la ardhi nalo utalikataa.
Huyu ni DC na kada wa CCM ambaye pia katabia ka ufisadi amekuwa nacho tangu akiwa chuoni pale mzumbe nakumbuka alivyokula pesa za serikali ya wanafunzi (MUSO) akiwa kama Vice President. Jamaa huyu ni hatari sana kwenye issue ya pesa. Kuwa kada wa CCM naona yupo uwanja wa nyumbani kabisa.
huu utaalam wa propaganda umemtokea lema bungeni leo, ametumia muda mwiiingi kumchafua ole medeye tangu akiwa waziri kumbe ni baada ya kugundua kuwa medeye anagombea ubunge arusha mjini mwakani...haya mleta mada unagombea jimbo moja na kingu???
ngumi jiwe za kiutendaji sio hizo za akili ndogo kama za kwako
Kama umeumia kunywa Sumu ujiue ndugu yangu! Kwani Isakamaliwa walivamiwa na Kingu? Unajua chanzo cha Ule mgogoro? Au unaandika tu mtoto kiume?
Fanya tafiti usikurupuke tu kijana! Hapa ni JF siyo FB