WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,236
Mkuu Waberoya, you have a point and I agree with you to large extend. Kusema ukweli waandishi wengi hawajui watakula vipi bila kuwa na bahasha kutoka kwa politicians, kuna mambo mengi yanahitaji kuzungumziwa au kuandikwa ili kumsaidia mwananchi wa wakawaida, lakini hayaandikwi.I dont believe so, EL is strong , yes, lakini sidhani kama proffesional journalist hawezi kum-face na kumuuliza
unakumbuka alivyoita waandishi wa habari nyumbani kwake?? kuna waandishi walimuuliza kuhusu issue ya Richmond!!imagine kwa miaka zaidi ya mitatu waandishi waliandika mengi sana kuhusu ufisadi wa huyu mtu! lakini siku walipokutana naye walimuuliza kuwa 'kama wanayoyaandika ni kweli'
hauhitaji kujua mind set za magazeti yetu, waandishi wetu ...ni umbea na kuuza magazeti basi! na sisi tunanunua tukifurahia fulani kuitwa fisadi! sometime we even call these journalists ni heroes...eti haogopi!
kama EL fisadi nakala hii haimsaidii mtanzania wa kawaida, why they are not pressing government to press charge against these criminals? au kuwa mzalendo wa kweli nchi hii ni 'kubweka tu' na katu si kupigana wezi wapelekwe jela
asilolijua huyu mwandishi ni kuwa watu wa aina ya Lowassa wakialikwa huwa wanasambaza kadi kwa rafiki zake,wanachanga na baadae kwenda mahali husika ambako anawasilisha michango. si siri kuwa yeye ni tajiri na ambao wanao katika familia yake hata kabla ya kuwa kiongozi! wengine tusiojua mambo tunafahamu hivi kwa kufanya upelelezi mdogo tu.
muda umefika wa kubadili teknic zetu za kupambana na mafisadi...
magazeti yanauza tu hawako real
Huyu ni journalist, anatakiwa amfuate EL na kumuuliza ana kwa ana kulikoni? anaweza akajuakila kitu deeply....hatuna waandishi wa habari wa namna hii Tanzania....wote wamebaki kuandika nakala na kubadili misamiati na kuandika kwa style tofauti.....these kind of b/shit journalism imeiua Tanzania na kudumaza bongo za wengi.
marupurupu ya serikali na fedha za richmond ndio zina mpa nguvu hivi?
yaani EL ni tajiri sana kiasi kwake mmillioni 60 kuipoteza haiumi??
kua asichokijua mwandishi kuhusu hizi changizo na hajataka kuelewa
aaargh! naenda chuo cha uandishi wa habari
I dont believe so, EL is strong , yes, lakini sidhani kama proffesional journalist hawezi kum-face na kumuuliza

Hili jambo linasikitisha sana aisee yani makanisa yanataka kutuletea chaguo la mungu jingine baada ya hili la sasa...
No free lunch in this world, [Wazungu]. Ukitaka kula sharti uliwe kidogo, [JK]. Sasa kaa ukijua, ipo siku moja zitarudi tena nyingi zaidi.Wazazi acheni mpunga uliwe KKKT ndo wanaongoza kulamba,kwa Kadinali Pengo ndo haooo wanaingia jamvini Ifakara,mashehe nafikiri waanze kunawa mbele ya Pesa hata Kritu alisalitiwa hatuwashangai makasisi; mwacheni amwage mchele halafu habari ya uraisi wataisikia kwenye bomba; CCM wakimleta mtu mzima Edo,itabidi Dr Slaa atangaze baraza la mawaziri kabla ya Kampeni na ndo itakuwa kiama chao; ila mpunga tule tu haina kokoro;
Huyu ni journalist, anatakiwa amfuate EL na kumuuliza ana kwa ana kulikoni? anaweza akajuakila kitu deeply....hatuna waandishi wa habari wa namna hii Tanzania....wote wamebaki kuandika nakala na kubadili misamiati na kuandika kwa style tofauti.....these kind of b/shit journalism imeiua Tanzania na kudumaza bongo za wengi.
marupurupu ya serikali na fedha za richmond ndio zina mpa nguvu hivi?
yaani EL ni tajiri sana kiasi kwake mmillioni 60 kuipoteza haiumi??
kua asichokijua mwandishi kuhusu hizi changizo na hajataka kuelewa
aaargh! naenda chuo cha uandishi wa habari
Hivi alishatamka kwamba anautaka urais au ni tetesi tu?
Nakubaliana na wewe. Huyu ni mmoja wa waandishi makanjanja wanapandikiza fikra za kufikirika ndani ya vichwa vya watanzania.... haya yalitakiwa yaandikwe endapo tu EL atachukua fomu ya kugombea 2015 na si sasa!
Waberoya huna sababu ya kumshambulia huyu mwandishi eti kwavile hakumuuliza Lowassa hao marafiki wanaomchangia hizo fedha ni wakina nani? Lowassa anapokuwa huko kwenye harambee hufuatana na wapambe wachache ambao hawawezi kuchangisha kiasi hicho cha fedha; mara nyingi hufuatana na mbunge wa Kigoma Serukamba, ambae maisha yake yote humtegemea Lowassa kwa kuishi; pia wanakuwepo wafanya biashsra wadogo wadogo wachache anaowakusanya toka Arusha; hawa wote hawaelekei kuwa wana pesa kiasi hicho cha kumchangia !! Ni wazi kuna watu ambao hawaonekani ambao wanachanga pesa za kumuwezesha Lowassa kuchangia haya mamilioni ya pesa na lazima hizi ni pesa chafu ama sivyo wafadhili wake wasingejificha na yeye asingewaficha pia!! Ndio maana mwandishi anauliza hawa wanaomfadhili Lowassa mapesa yote haya ni Rostam na nani wengine; mdogo wa Rostama alikamatwa huko Tanga na madawa ya kulevya yenye thamani ya mabillion ya shillingi je hizi ndio fedha zinazomfadhili Lowassa? Huo utajili wa kifamilia aliokuwa nao Lowassa unaujua wewe peke yako, kwani mwalimu alipomsema juu ya utajili wa upesi upesi aliojilimbikizia wakati huo hakuwa na familia? Huyu bwana kama Chenge wamechuma hizo fedha kwa kuwa watumishi wa serikali hakuna ng'ombe wala nguruwe waliouzwa kupata utajiri huo!!
Mkuu tatizo lako na mwandishi ni kuona ni fedha chafu, haujui akina nani wanaochanga fedha na yet unasema ni fedha chafu.Hivi ukiwa na fedha safi lazima ujitangaze?? mkuu unapata wapi hii theory
Pili kusema fedha chafu zinapokelewa na nani?aliyeziona chafu ni wewe na mimi, je makanisani na misikitini wanaziona chafu?? au wale ni watoto hawafikirii wala kuona, ila nyie mna akili?
je fedha hii chafu kanisani inakuwa fedha safi? si chafu? kwa nini usi-mobilize waumini wasiingie kwenye makanisa na mashule ya kiislamu yaliyojengwa na fedha hizi chafu? can you?
ukishindwa hiyo task unarudi kulekule kuwa watu wako tofauti na mwandishi inabidi alijue hili
mwisho ili kubadili strategy nimeuliza mtu mchafu anaandikiwa nakala? kwa nini waandishi wetu hawabadili technic?? tangu lini tumesikia haya, umeishawahi kuona nakala inamsema vibaya DPP, CAG, waziriwa sheria na chief justice kuwa hawawezi kuwapeleka hawa wezi kortini?? hivi ukiimba fedha zile chafu ndio zinarudi, si inawezekana katika mzunguko ule na wewe umezipata kwa nini tunajisiwe na fedha chafu , na huku tunatumia fedha chafu?
tukubali tumeshindwa na sasa tumebaki kubweka tu!

heshima kwa wanajukwaa.Nimekuwa napata taarifa kumuhusu Lowasa, leo kasaidia mil 70 Mbeya,kesho Mil 100 KKKT Mwanza nk.
Mh Lowasa ni mbunge kama wabunge wengine na hata kama atasema anatumia pension ya uwaziri mkuu haitatosha nishawishi kuamini anapotoa pesa hizo..kwa mahesabu ya harakaharaka huyu mzee anafikisha mil 500 na zaidi kwa mwaka huu pekee kwa misaada tu. kwa mimi mTanganyika wa kawaida hizi pesa ni nyingi sana..
Mheshimiwa ninaomba unijuze wapata wapi hizo senti na mimi nkajichotee.