Mh Anne Makinda hijabu imekupendeza

NgomaNgumu

Senior Member
Nov 20, 2010
194
24
Pamoja na perfomance ya utendaji kazi wa mtu, mavazi ni moja ya vipambo wakti mwengine vinamsaidia mtu kukubalika ktk hatua za mwanzo. Ndio! kama kwenda kwenye interview ya kazi ukavaa suti.

Nimemuona Mh makinda ktk picha tofauti lakin naomba mniruhusu niseme kua kwa vazi lile la leo la hijabu ambalo lipo michuzi wakati akihudhuria mazishi ya mbunge wetu aliefariki, limempendeza sana. Ni afadhali akabakei kule
 
A picture speaks a thousand words, tuwekee picha basi!
 
Back
Top Bottom