Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,192
- 6,144
Uto hujui hata mnakutana na waarabu mkagongwe tena!Kwa mwenendo huu wa club ni wazi kwamba Simba itaenda kuaibisha taifa huko nje, Leo hii Simba inashindwa kabisa kuifunga Yanga, Wachezaji wazembe, Hawajitumi, Tunategemea nini? Kwanini asipatikane kocha makini kama Nabi a.k a Prof Nabi, Kocha makini anayejua anachokifanya. Simba hata kuifunga de Agosto ni vile tu imebahatika kupangiwa na club mbovu mbovu lakini kama ingepangiwa na Al hilal nina uhakika aibu ingekuwa kubwa mno!
Tunashukuru angalau wenzetu wamepambana kiume kuzuia aibu ambayo kama ingekuwa Simba ingekufa hata 7-0.
Siku zote Simba kuingia club bingwa ni kutokana na bahati tu kupangiwa na vilabu dhaifu.Uongozi wa Simba uchukue hatua mapema. Mgunda aondoke!
Naona umeikejeli Utopolo ki style kwa kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupaKwa mwenendo huu wa club ni wazi kwamba Simba itaenda kuaibisha taifa huko nje, Leo hii Simba inashindwa kabisa kuifunga Yanga, Wachezaji wazembe, Hawajitumi, Tunategemea nini? Kwanini asipatikane kocha makini kama Nabi a.k a Prof Nabi, Kocha makini anayejua anachokifanya. Simba hata kuifunga de Agosto ni vile tu imebahatika kupangiwa na club mbovu mbovu lakini kama ingepangiwa na Al hilal nina uhakika aibu ingekuwa kubwa mno!
Tunashukuru angalau wenzetu wamepambana kiume kuzuia aibu ambayo kama ingekuwa Simba ingekufa hata 7-0.
Siku zote Simba kuingia club bingwa ni kutokana na bahati tu kupangiwa na vilabu dhaifu.Uongozi wa Simba uchukue hatua mapema. Mgunda aondoke!
NakaziaMpuuzeni huyu.