Mgongo unasumbua ushauri tafadhali

Mgongo unasumbua ushauri tafadhali

ichumu lya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
2,649
Reaction score
2,805
Kwa muda sasa nasikia maumivu makali mgongoni ila mpaka sasa sijatumia dawa tofauti kuchua jana nilienda saloon wakanichua alafu niliisha badili godoro nilikuwa na super banco nimeiacha nimenunua Dodoma lakini bado hali haijabadilika ila kwa ufupi ninakuwa kwenye gari zaidi ya masaa sita kwa siku lakini siendeshi.

Leo nimechukua bed cover nikaitandika kwenye sakafu nikalala kidogo najisikia afadhali.

Najitahidi kurefusha ili kupunguza maswali.
 
Pole sana ndugu,ngoja waje wadau watakusaidia dawa ya kutumia.
 
Kama ni tatizo la muda mrefu nenda kwenye hospitali kubwa upimwe ili kugundua tatizo.
Namjua mtu alikuwa anasumbuliwa na hilo tatizo kaenda Muhimbili kapimwa na imegundulika kuna wadudu walikuwa wanashambulia mgongo wake.
Na tayari ameanza matibabu
 
Asante sana Mkuu nitafanya ivyo. Mwanzoni nilidhani kuishi mbali na shemeji yenu kitakuwa chanzo maana nizaidi ya mwaka sasa.
Kama ni tatizo la muda mrefu nenda kwenye hospitali kubwa upimwe ili kugundua tatizo.
Namjua mtu alikuwa anasumbuliwa na hilo tatizo kaenda Muhimbili kapimwa na imegundulika kuna wadudu walikuwa wanashambulia mgongo wake.
Na tayari ameanza matibabu
 
Nenda kafanye kipimo cha MRI ukishapata findings ndio uje humu utuulize
Mimi nitakuelekeza nini cha kufanya
 
In the meantime weka godoro sakafuni kabisa ndio ulale, fuatilia tiba na nunua godoro "orthopaedic"
 
Nenda kafanye kipimo cha MRI ukishapata findings ndio uje humu utuulize
Mimi nitakuelekeza nini cha kufanya
Kuna mtu alifanya MRI na bado hawakuona kitu katika mgongo wake, anapatwa na maumivu hasa akiammka asubuhi ama akisimama kwa muda mrefu, afanyeje?
 
Kwa muda sasa nasikia maumivu makali mgongoni ila mpaka sasa sijatumia dawa tofauti kuchua jana nilienda saloon wakanichua alafu niliisha badili godoro nilikuwa na super banco nimeiacha nimenunua Dodoma lakini bado hali haijabadilika ila kwa ufupi ninakuwa kwenye gari zaidi ya masaa sita kwa siku lakini siendeshi.

Leo nimechukua bed cover nikaitandika kwenye sakafu nikalala kidogo najisikia afadhali.

Najitahidi kurefusha ili kupunguza maswali.
mm nilikuwa na tatizo km hilo aisee..mgongo ulikuwa unauma mno...kuna dawa za kiarabu nikatumia bhana...zimekata kila kitu...maumivu yote kwisha..km bd tatzo lipo ni PM nikupe maelezo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda hospitali.. Humu hatuwezi kukusaidia zaidi ya kukushauri tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm nilikuwa na tatizo km hilo aisee..mgongo ulikuwa unauma mno...kuna dawa za kiarabu nikatumia bhana...zimekata kila kitu...maumivu yote kwisha..km bd tatzo lipo ni PM nikupe maelezo..

mm nilikuwa na tatizo km hilo aisee..mgongo ulikuwa unauma mno...kuna dawa za kiarabu nikatumia bhana...zimekata kila kitu...maumivu yote kwisha..km bd tatzo lipo ni PM nikupe maelezo..

Sent using Jamii Forums mobile app
mm nilikuwa na tatizo km hilo aisee..mgongo ulikuwa unauma mno...kuna dawa za kiarabu nikatumia bhana...zimekata kila kitu...maumivu yote kwisha..km bd tatzo lipo ni PM nikupe maelezo..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hellow...samahani na mimi naomba msada ndugu.
 
Back
Top Bottom