Wildly uninformed!
Kamati ya Bomani haikupendekeza mashitaka dhidi ya Kiwira. Ilisema uchunguzi zaidi ufanywe. Haujafanywa. Nchi bado inasubiri Rais aseme Ngeleja alipendekeza nini kuhusu utekelezaji wa Ripoti. Chochote alichopendekeza Ngeleja, Kikwete administration haiwezi kumshtaki Rais mstaafu Mkapa kwa sababu imetangaza kwamba ataachwa apumzike. Again, tuna matatizo ya outlandish misinformation submitted in the name of the forum.