Mgomo wa Walimu waiva; watoa notisi ya masaa 48

Nawatakia mgomo mwema ila msitumiwe kisiasa fuateni taratibu na madai yenu yawe clear, mwisho nawapa hongera kwa kufanya mgomo kipindi hiki cha likizo.
 
MKOBA ndio tatizo ni msaliti kwanza aondolewe CWT kwanza yeye akishapewa kitu anawasaliti walimu.Pili walimu wengi ni wasomi ila hawajaelimika ndo maana wakitishwa na serikali wananywea ujinga bado wanao.
 
Yote saba, lakini kwa nini wanataka kugoma wakati wa likizo? Mwezi wa sita walianza kusema wanataka kugoma lakini kilikuwa kipindi cha likizo. Mwezi wa nane kwa sababu ni wakati wa sensa, kuna likizo ya mwezi mzima inakuwaje wagome wakati wa likizo tu? Mgomo wa walimu haunekani kama ukifanyika wakati wa likizo. Hivyo wajipange vizuri.
 
ufahamu wako ni mdojo juu ya hii kada ya ualimu,watu wenye mawazo finyu kama wewe.ndio ambao wana ufauru mbovu kama wewe felia mkubwa.kama unabisha tuwekee cv yakao hapa ili tuone kama nisemayo ni uongo.
 
Mimi nina wasiwasi na hawa viongozi wa walimu kwamba wanataka kutumia huu mgogoro kujinufaisha kwani wamekuwa ni watu wa kutangaza migomo kila wakati bila kutekeleza, pindi wanapopoozwa wanatulia na matumbo yao yanavyokuwa na njaa wanaitisha tena mgomo,
ushauri kwa walimu msikubali kuchezewa kama vitenesi bora msimame kama nyie na kutoa uamuzi mmoja ambao utakuwa siyo wa kupigana danadana na utakaokuja na jibu moja na sahihi
 

daaah! umenishangaza.Hivi ulisemalo ni kweli? kwamba walimu wote hapa tz wana ufaulu wa 4 tena ya point 28?
 

unaongelea ****** ama. ustake nikakudharau kwa namna ya ajabu kijana. wewe kwangu hustahili hata kulisha nguruwe na bukini wangu. tena nikikuonyesha vyeti na kipato changu halali ninacholipwa kama mwl hata kufuta gari yangu asubuh huqualify. eti tunapewa fadhila wafikir sisi ni kama wewe? umezoea kubebwa bebwa hovyo. ndo maana huna marinda wewe.
 

Hii gomagoma wakati walikizo ni-ishara tosha yauoga!Kama si unafiki waviongozi wa walimu kina Mukoba!!
 
Jamani huu ni usanii..! Mgomo gani unaoitishwa kipindi shule zimefungwa na zingine zinafunga wiki ijayo? Mkoba aache kudanganya walimu, kama mgomo autangaze baada ya shule kufunguliwa hapo ndipo tutajua kuwa huo ndio mgomo.
 
tusubiri tuone, nchi imeharibika. Hakuna msimamiz mzuri wa rasilimal za nchi. Kila mahal panayumba, hali ni mbaya.
 

Tatizo lako ni kudhani kwamba walimu ni wale wa primary school tu. Cwt inajumuisha waalimu hadi wa sekondari. Na mgomo huu ni wa walimu wote. Wapo walimu wa sekondari waliofanya vizuri sana kuanzia primary hadi chuo. Kauli za kwamba huwa ni failure ni dharau kubwa sana kwao hasa ukizingatia kwamba na wewe umepitia mikononi kwao. Wao ndio wamekufikisha ulipo! Unless kama na wewe ni product ya shule za kata!
 
Kwani serikali haijapeleka madai yao mahakamani ili wazuie mgomo coz suala lao bado liko mahakamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…