Mgomo wa walimu Tanzania; Teach as you earn (TAYE)

Jabman

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
1,005
1,337
Mgomo wa waalimu unaendelea bila kelele. Serikali inalijua hili ila iko kimya.
Tunaangamiza taifa.
Lipeni madai ya walimu na wapandisheni vyeo/ madaraja.
 
Back
Top Bottom