Mgomo Wa Walevi

AgentX

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
1,651
Reaction score
1,700
Hapo ktk picha ni mgomo wa walevi wakishika mabango wakishinikiza wapewe haki yao.

Ilikuwa mwaka1931

Je Unahisi huku Tanzania watu wakinyimwa haki hiyo wanaweza kugoma?
 

Attachments

  • walevi.png
    73.5 KB · Views: 2,034
Walevi wa Tanzania hawawezi kunyimwa haki hii kwa sababu hata serikali inategemea bajeti yake kwa asilimia kubwa kutoka kwa hawa walevi
 
Msiwaite walevi, waiteni wanywaji wazuri!
 
Kuzuia unywaji wa bia Tanzania ni ngumu kama vyama vya upinzani kutoa mgombeaa urais mmoja mwaka huu!
 
Ukizuia beer taifa litasimama. Even for 1hour itatangazwa hasara ambayo haijawah tokea tangia uhuru
 
 
Ukilinganisha wagomaji hao wa majuu na hiyo ya walevi wa bongo tofauti ni kubwa hasa kwa matumbo, jamaa hawana vitambi, inabidi tufanye research beer zao zinatengenezwaje?
 
 
Ukilinganisha wagomaji hao wa majuu na hiyo ya walevi wa bongo tofauti ni kubwa hasa kwa matumbo, jamaa hawana vitambi, inabidi tufanye research beer zao zinatengenezwaje?

Malting process nahisi tofauti. Au cheki walevi wa Germany tofauti na huku..... Ngano ndo tatizo i think........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…