PlanckScale
JF-Expert Member
- Sep 28, 2008
- 550
- 169
Hizi habari za mgomo zinazotokana na kunyima watu haki zao zimenifanya nipoteze hamu ya kunywa kinywaji cha pepsi. Kwakweli mimi basi. Atakaye weza kunywa pepsi atakuwa na roho ngumu kweli!
Hahaa,hatari sana.bei ya sukari leo ni sh.3500/-Ht mimi sijamuelewa huyu MTU, ugumu wa maisha unavuruga akili za watu, Magufuri alegeze kidogo aisee
Ht mimi sijamuelewa huyu MTU, ugumu wa maisha unavuruga akili za watu, Magufuri alegeze kidogo aisee
pepsi ilvo tamu hvo,,mie nakunywa kwan lazma wafaanye kaz pepsi? kama wanajeuri waambia waache wakafanye cocacola nyanza/kwanza/bonite...hhaahhahah pepsi tamu niiache kisa kina watu wamegoma? thubutuHizi habari za mgomo zinazotokana na kunyima watu haki zao zimenifanya nipoteze hamu ya kunywa kinywaji cha pepsi. Kwakweli mimi basi. Atakaye weza kunywa pepsi atakuwa na roho ngumu kweli!
Hizi habari za mgomo zinazotokana na kunyima watu haki zao zimenifanya nipoteze hamu ya kunywa kinywaji cha pepsi. Kwakweli mimi basi. Atakaye weza kunywa pepsi atakuwa na roho ngumu kweli!
Dah.,, Hivi bado unauza koka?Hizi habari za mgomo zinazotokana na kunyima watu haki zao zimenifanya nipoteze hamu ya kunywa kinywaji cha pepsi. Kwakweli mimi basi. Atakaye weza kunywa pepsi atakuwa na roho ngumu kweli!
Kama Pepsi wamejidhihirisha hawafanyi ethical business basi wanaweka bidhaa zao kwenye hatari sokoni. Of all unjustices ambazo business entity inaweza kufanya ni kuwanyima wafanyakazi haki zao, mfanyakzi lazima awe na makataba unaoonesha haki zake za mshahara, malipo ya ziada, sick leave, rest day, muda wa mapumziko, haki yake ya kujiunga na chama cha wafanyakazi, likizo , mshahara kulingana na sekta, retirement benefit, malipo kwenye mifuko ya jamii, kutonyanyaswa kazini etc.