engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
engmtolera na Zitto...hahahahaa.
Bigirita
ucjari mtu wangu,kiukweli mie huziamini sana information anazozitoa Mh Zitto,kwani anahusika ktk PAC na anachokitoa anauhakika nacho
sasa kwa sie wapenda ukweli hatuwezi kuacha kutumia information anazoziweka kwani ni kwa maendeleo ya nchi hii.