Mgomo wa Simu Utafeli...

natumaini jibu unalo kuwa nani mchochezi kati yako wakala wa mafisadi na nguvu ya umma
 
Mwanakijiji akamuombe msamaha Freddy Macha kwanza. Na kama ameukana uraia wa Tanzania pili pili iko shambani .... Kama kaamua kuisaliti nchi alozaliwa ana haki gani ya kuhoji? Ndo uchochezi huo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu jamaa ni chizi,yani mie niache kuwatsup na baby kisa Mwanakijiji Eboooooo.

Watanzania hawapendi ujinga

Anajua madhara ya ufumbafu huu,?
 
Zemacopolo,Mpashe huyu mwanaharakati,kuna kipindi niliamini ni mtu makini lakini kadiri siku nilivomsoma nikajua anatabia zaki Muslim brotherhood
 
Unaweza kuwashawishi wajinga tu juu ya Mwanakijii, huyu jamaa ni mzalendo wa ukweli tena sana kuliko wana CCM wengi sana, unatetea unyama huo wa kodi kwasababu wewe ni mnufaika wa kodi hiyo. Mbona kwenye masuala ya Escrow akaunti mmekaa kimya kama vile hakuna kilicho tokea. Kwa mtu aliesoma akaishia hata darasa la saba hawezi hata kidogo kukubali utetezi wako juu ya uchonganishi alio ufanya mwana kijiji. Lakini siku hazigandi hata kama sio wewe mjuu wako siku moja atapata taabu kw aajiri ya utawala mbovu huu wa CCM. Makala za mwana kijiji zimekua zinaelimisha sana kuhusu kujitambua na kudai haki kwa wanyonge.
 

Mkuu kwa heshima zote na taadhima. Makala za mwanakijiji kama unatizama kwa undani hazina jipya ni za kigombanishi na ushahidi umewekwa wazi hapa na Mzalendo ZeMarcopolo na sasa leta ushahidi wa kuonyesha Mwanakijiji ana chembe ya uzalendo... Napenda pia umuelewe vizuri mwanakajiji ni mtu wa namna gani kabla ya kumuunga mkono. Pia mwambie akamuombe msamaha kwanza Freddy Macha kwa aliyo mfanzia. MKEHA


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mwanakijiji akamuombe msamaha Freddy Macha kwanza. Na kama ameukana uraia wa Tanzania pili pili iko shambani .... Kama kaamua kuisaliti nchi alozaliwa ana haki gani ya kuhoji? Ndo uchochezi huo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Macha huyu rasta yupo pale UK uwa anaandika makala zake kwenye gazeti la mwananchi kila jumapili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…