D Determinant Member Joined Nov 14, 2011 Posts 10 Reaction score 4 Feb 7, 2012 #1 Rais tumia busara ili ushughulikie madai yao, kadri siku zinavyokwenda ndivyo hali inazidi kuwa mbaya itafikia kipindi itashindikana hata kufanya suluhu na madaktar.
Rais tumia busara ili ushughulikie madai yao, kadri siku zinavyokwenda ndivyo hali inazidi kuwa mbaya itafikia kipindi itashindikana hata kufanya suluhu na madaktar.
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Feb 7, 2012 #2 hivi ni nani mnampa huo ushauri? miaka 6 bado hamjajua mnaongozwa na kiongozi wa namna ipi? mimi nashauri tukae kimya maana muamuzi wetu atakuwa mungu tu.
hivi ni nani mnampa huo ushauri? miaka 6 bado hamjajua mnaongozwa na kiongozi wa namna ipi? mimi nashauri tukae kimya maana muamuzi wetu atakuwa mungu tu.
D dotto JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 1,725 Reaction score 257 Feb 7, 2012 #3 Ringo Edmund said: hivi ni nani mnampa huo ushauri? miaka 6 bado hamjajua mnaongozwa na kiongozi wa namna ipi? mimi nashauri tukae kimya maana muamuzi wetu atakuwa Mungu tu. Click to expand... Kabisa kwa kuwa tumefika mahala tumegota!! Ujanja na wizi wizi wao wawatokea puani!!
Ringo Edmund said: hivi ni nani mnampa huo ushauri? miaka 6 bado hamjajua mnaongozwa na kiongozi wa namna ipi? mimi nashauri tukae kimya maana muamuzi wetu atakuwa Mungu tu. Click to expand... Kabisa kwa kuwa tumefika mahala tumegota!! Ujanja na wizi wizi wao wawatokea puani!!
Vinci JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 2,637 Reaction score 675 Feb 7, 2012 #4 Hali ni tete sasa mahospitalini....mkuu wa inji tunakuomba busara zako zishike mkondo. toa tamko
Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,709 Reaction score 6,947 Feb 7, 2012 #5 Madaktari aluta kontinua