Mgomo wa daladala jijini Mwanza

Mgomo wa daladala jijini Mwanza

Nyamwaga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
454
Reaction score
118
Kuna taarifa kuwa kuna mgomo umeanza wa daladala jiji la Mwanza. Mwenye ukweli amwage hapa ili tujue chanzo chake ni nini?

Wadau kama tutakumbuka vizuri,jana katika taarifa za habari kulikuwa na habari ya wamachinga kupewa maeneo mawili katikati ya jiji la mwanza na mkuu mpya wa mkoa bwa magesa mulongo,maeneo waliyopewa ni standi ya Tanganyika na ile ya magari ya kwenda airport kutokea Igoma.katika pitapita zangu asubuhi ya leo mjini nilikuta machinga wameamka usiku kuwahi maeneo katika sehemu hizo,hivyo kukawa top hakuna gari kuingia wala kusha pale Stand ya Tanganyika,na ile nyingine.Kufuatia kitendo hicho,watu wa daladala wamejipanga vyema hasa wale waliokuwa wanatumia maeneo hayo wamegogoma,na wamezifunga barabara zote za katikati ya mji kwa kuegesha magari barabarani na wao kushuka.

My take: Wakati wa Ndikilo,kulikuwa na mpango wa halmashauri ya jiji la Mwanza kusafisha mji kwa kuwatoa wamachinga katikati ya mji,zoezi lililotumia million mia 2,sasa iweje leo warudishwe tena kwa kupewa maeneo makubwa zaidi?nadhani Mulongo anafanya hivi kuwafuta machozi machinga wa Mwanza,ili kumpiga kumbo Wenje ambae amekuwa mstari wa mbele kuwatetea,ili kuirahisishia CCM kupiga kampeni vizuri katika uchaguzi mkuu ujao,na baada ya hapo,wawafukuze tena.

Magesa hii ni Mwanza,usipotulia na kutumia Busara utaomba uhamisho mwenyewe,ila ukiwa mstaarabu kama wana Mwanza walivyo,hautatamani kuhamishwa.
 
hizi daladala kwanini zisirudi stand ya zamani pale nyerere road karibu na mataa opposete na saif plaza? madiwani wa chadema wanafanyakazi gani? mambo yote yanakwenda hovyo tu utadhani hakuna halmashauri ya jiji, hata maboss wao mbowe na Slaa yamekodoa macho tu.
 
Mulongo ni mkuu wa mkoa anahusikaje na mipango miji acheni kuzushia watu uongo, shindweni kazi wenyewe.
 
Wenye madaladala wafunga barabara!

Wadai wenye malori wanapendelewa.Ni vurugu barabara hazipitiki.Malori hayatembei na foleni ni ndefu.

Daladala wameziba katikati ya mabarabara!
 
kazi kweli kweli. RC na timu yake waangalie upya uamuzi wake na si vema sana kufanya maamuzi bila strategies za kufanikisha hayo maamuzi
 
Niko. Nyakato national, sehemu gan asee?

Kuanzia mlango mmoja kuja mjini hakuna gari inaingia wala kutoka, barabara Zote za mjini hiace wameblock gari haziingii wala hazitoki, kwa urahisi panda boda boda tu
 
Natupiapo vipicha
 
Attachments

  • 1422094188254.jpg
    1422094188254.jpg
    58.5 KB · Views: 412
  • 1422094213144.jpg
    1422094213144.jpg
    56 KB · Views: 379
Mulongo ni mkuu wa mkoa anahusikaje na mipango miji acheni kuzushia watu uongo, shindweni kazi wenyewe.
Watu wengine mmezaliwa kubisha tu,wagumu kama nyama ya tak*****,aliyetangaza machinga kupewa maeneo hayo tena hata magazeti ya leo yameandika ni nani?si Mulongo?wewe jamaa kama unataka kubishana tafuta post za kubishi huko siyo hii,muulize Mulongo,je yeye nae ni Afisa mipango miji?usiniulize mimi,nimeandika alichokifanya,tatizo hata tv hamuangalii,magazeti hamsomi,whatsapp na fa facebook tu,ukipotea sana unakuja jamii forum mapenzi,sasa ukipotea unajikuta kwenye post kama hizi ambazo hata huna abc nazo,unaishia kucomment kama ulivyocomment hapa.
 
Na mgomo wa leo ni wa kisayansi, sijaona polisi na mabomu wala nini, watu wametelekeza hiace katikati ya barabara, wakasepa zao. Mulongo jipange upya baba
 
Watu wengine mmezaliwa kubisha tu,wagumu kama nyama ya tak*****,aliyetangaza machinga kupewa maeneo hayo tena hata magazeti ya leo yameandika ni nani?si Mulongo?wewe jamaa kama unataka kubishana tafuta post za kubishi huko siyo hii,muulize Mulongo,je yeye nae ni Afisa mipango miji?usiniulize mimi,nimeandika alichokifanya,tatizo hata tv hamuangalii,magazeti hamsomi,whatsapp na fa facebook tu,ukipotea sana unakuja jamii forum mapenzi,sasa ukipotea unajikuta kwenye post kama hizi ambazo hata huna abc nazo,unaishia kucomment kama ulivyocomment hapa.

tatizo king'amuzi nilishatupa kukwepa wanangu kuangalia ngono.
 
hizi daladala kwanini zisirudi stand ya zamani pale nyerere road karibu na mataa opposete na saif plaza? madiwani wa chadema wanafanyakazi gani? mambo yote yanakwenda hovyo tu utadhani hakuna halmashauri ya jiji, hata maboss wao mbowe na Slaa yamekodoa macho tu.

Haya mambo wakati Halmashauri ya jiji inaongozwa na Mayor kutoka Chadema uliyaona? Yamejitokeza baada ya kuchakachua mambo na kumuweka huyo Meya wenu na kuvuruga kila mpango kwa kuweka siasa mbele.
Tena kama sio Mbunge Wenje kuwa karibu na hao Wamachinga na kujaribu kuwa kati yao na serikali ya mkoa hali ingekuwa mbaya sana. Yeye kasema wamachinga wanaweza kuweka biashara mahali watakapoandaliwa mazingira ya kufaa na uwezekano wa wateja kufika lakini kila siku mnataka kuwaona machinga kama adui mijini ila kura zao mnataka.
 
Watu wengine mmezaliwa kubisha tu,wagumu kama nyama ya tak*****,aliyetangaza machinga kupewa maeneo hayo tena hata magazeti ya leo yameandika ni nani?si Mulongo?wewe jamaa kama unataka kubishana tafuta post za kubishi huko siyo hii,muulize Mulongo,je yeye nae ni Afisa mipango miji?usiniulize mimi,nimeandika alichokifanya,tatizo hata tv hamuangalii,magazeti hamsomi,whatsapp na fa facebook tu,ukipotea sana unakuja jamii forum mapenzi,sasa ukipotea unajikuta kwenye post kama hizi ambazo hata huna abc nazo,unaishia kucomment kama ulivyocomment hapa.

kama madiwani kupitia halmashauri yao hawana uwezo wa kufukiri matokeo yake kila mtu anakuwa mipango miji, ukweli chadema mumeshindwa kazi mwanza hilo kubalini acheni ubishi wa kijinga, na kutukana watu sio suluhisho la matatizo yenu, wakati wa ccm parkin fee ilikuwa shs 300 na walijenga parking zao, chadema wamekuja wakapandisha hadi shs 1000 na haijulikani pesa zinakwenda wapi, au lile gorofa la mke wa kigogo wa cdm ndo linatumalizia pesa.

Wakati wa utawala wa shomari kamese na ole njolaay masoko mapya yalijengwa, fursa mpya za kibiashara zikaanzishwa tofauti na hawa wahuni wa sasa.
 
Mulongo ni mkuu wa mkoa anahusikaje na mipango miji acheni kuzushia watu uongo, shindweni kazi wenyewe.

Unaandika usichokijua; tulioko Mwanza tunajua namna anavyohusika yeye huyo Mkuu wa Mkoa. Hana kipaji cha uongozi.
 
Haya mambo wakati Halmashauri ya jiji inaongozwa na Mayor kutoka Chadema uliyaona? Yamejitokeza baada ya kuchakachua mambo na kumuweka huyo Meya wenu na kuvuruga kila mpango kwa kuweka siasa mbele.
Tena kama sio Mbunge Wenje kuwa karibu na hao Wamachinga na kujaribu kuwa kati yao na serikali ya mkoa hali ingekuwa mbaya sana. Yeye kasema wamachinga wanaweza kuweka biashara mahali watakapoandaliwa mazingira ya kufaa na uwezekano wa wateja kufika lakini kila siku mnataka kuwaona machinga kama adui mijini ila kura zao mnataka.

Nani ka kwambia Mayor ni think tank? maamuzi ya local government hufanywa kwa vikao, mabula sio mjumbe wa kamati ya mipango miji, mumeshindwa kuongoza manispaa nchi si ndo itakuwa balaa, itabidi muondolewe kama Gagbo.
 
kama madiwani kupitia halmashauri yao hawana uwezo wa kufukiri matokeo yake kila mtu anakuwa mipango miji, ukweli chadema mumeshindwa kazi mwanza hilo kubalini acheni ubishi wa kijinga, na kutukana watu sio suluhisho la matatizo yenu, wakati wa ccm parkin fee ilikuwa shs 300 na walijenga parking zao, chadema wamekuja wakapandisha hadi shs 1000 na haijulikani pesa zinakwenda wapi, au lile gorofa la mke wa kigogo wa cdm ndo linatumalizia pesa.

Wakati wa utawala wa shomari kamese na ole njolaay masoko mapya yalijengwa, fursa mpya za kibiashara zikaanzishwa tofauti na hawa wahuni wa sasa.

Mkurugenzi wa jiji - CCM

Meya wa Jiji - CCM

Mkuu wa wilaya - CCM

Mkuu wa Mkoa - CCM

Madiwani na wabunge wa chadema wao ni kuwasemea wananchi; lakini wenye maamuzi ajabu ajabu ndo hao waliopewa vyeo na kutenda pasipo busara.

Zingatia msemo huu "UTAWALA WA MPUMBAVU HUANGUKA PASIPO YEYE KUJUA"

Anguko la CCM limeanzia Mwanza.
 
Back
Top Bottom